Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale Bungeni kuna wabunge wa CCM wako vizuri kichwani, mimi mwenyewe nimemaliza chuo Mzumbe wakaning'ang'ania nibaki kufundisha pale kwa sababu nina akili nyingi, nilipata GPA ya juu sana, kwa hiyo hatukupitisha mkataba bila kuusoma, na tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu.
Pia soma - Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World