david silinde

David Ernest Silinde (born 28 July 1984) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Mbozi West constituency since 2010. He is a Deputy Minister in President's office, Regional Administration and Local Government appointed by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngongo

    David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  2. Etwege

    David Silinde: Wabunge acheni kutumia hela za mfuko wa jimbo kununulia samani zenu

    Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei 23, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), David Silinde ambaye amesema kuwa...
  3. Cannabis

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde aagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule kupunguza uovu

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
  4. P

    David Silinde ulivunja Sheria 2020 ukiwa Bungeni, usiwanyanyase Walimu

    Mhe. David Silinde, Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria. Nguvu ya dola ikatumika kukuweka jimbo ambalo si lako,huku ukiwasaliti wanachama wako waliokupokea ukitokea chuoni...
  5. Analogia Malenga

    TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  6. J

    Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
Back
Top Bottom