Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,956
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.

Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?

Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!

Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.

Kazi Iendelee!
 
Hiv hao wote si waliingizwa ccm kwa vipande 30 toka kwa hoa hao wa Akina bashiru na polepole.sasa wataenda kuwalilia shida kibunge
 
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.

Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?

Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!

Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.

Kazi Iendelee!
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!

We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general
 
Kwa kweli tunawachukia Sana. Ni watu waliojitoa akili zao kumwabudu Mwendazake. Wacha tuwachambe roho zetu zifurahi
 
"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.

Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu loyal sana.

Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"

Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
 
issue sio siasa, Tanzania siasa tunaitafsiri tofauti lakini siasa ndio inaamua maisha ya watu...siasa ikiwa mbovu na ya hovyo basi hata maisha ya watu yatakuwa mabovu na yahovyo..

Tujifunze kuishi na kutenda kwa haki, tuache kona kona na ujanja ujanja hasa wa kuonea na kunyanyasa wengine ...
 
Bashiru na Polepole" Ni wabunge wa KUTEULIWA na RAIS " na Sio wabunge wa viti Maalum.Ubunge wa viti Maalum wanapewa jinsia ya kike TU.Lakini wabunge wa KUTEULIWA na RAIS ANAWEZA akawa wa jinsia yoyote(Mwanamke au Mwanaume)
 
Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako.

Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni?

Kwamba, David Silinde ana mfuko wa Jimbo lakini Bashiru na Polepole hawana?!!!

Jamani mwacheni Mungu na aitwe Mungu.

Kazi Iendelee!
Kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu hili?
 
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!

We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general
Ngoja report kutoka BOT ndio uje kubwabwaja huo uharo wako.
 
Kakojoe ulale mkuu
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!

We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general
 
"Rip magufuli. Bashiru pamoja na kusingiziwa wizi ila baadhi ya watanzania wachache tunajua bashiru alipambania sana afya ya jpm.

Nyie hamuwezi kuelewa mnawaza figisu za kisiasa.ila ipo siku mtajua ni kiasi gani alimuangaikia jpm. Bashiru ni mtu royal sana.

Bashiru hicho kidogo ulichokifanya Mungu akubariki.zile rimot control usingefanya zaidi ya hapo.wachache tu ndo tunatambua msaada yako.Mungu akulinde"

Alisikika mtu mmoja akitamka maneno haya.
Alimuhangaikia kwa njaa na maslai yake binafsi,sasa alishajua mungu Kayafa akifa yatamkuta haya yanayomkuta sasa hivi
IMG_20210328_184908.jpg
 
kikubwa hawatokani na wanachi
Bashiru na Polepole" Ni wabunge wa KUTEULIWA na RAIS " na Sio wabunge wa viti Maalum.Ubunge wa viti Maalum wanapewa jinsia ya kike TU.Lakini wabunge wa KUTEULIWA na RAIS ANAWEZA akawa wa jinsia yoyote(Mwanamke au Mwanaume)
 
Watanzania bwana??? Yaani muda wote ni kufikiria huyu atafahidika nini, atanufahika vipi kifedha, basi - ni wachache wanao tilia maanani kutumikia/hudumia wananchi!!!

We fikiria mtu anajitokeza na anaonekana amefurahi kupindukia, kisa? Komredi Polepole na Dk.Bashiru hawapewi mfuko wa jimbo - yaani anataka na hiyo tuichukulie kama ni habari ya maana - kumbe lengo lake la kubandika habari hizi hapa linatokana na kusukumwa na chuki binafsi kuwahusu watu hawa wawili: H.Pole Pole na Dk. Bashiru kutokana na misimamo yao dhabiti dhidi ya wizi na ubadhirifu na uporaji wa mali za CCM na mashirika ya UMMA in general

walitumia nguvu nyingi sana kumwabudu mwendazake ni wapuuzi, yan pamoja na lipaulo ni wapumbavu wakutupwa
 
Back
Top Bottom