Search results

  1. Gordian Anduru

    Faida za Yanga na Simba kuingia nusu fainali

    Hawa makolo wanapenda sana kuchezea takwimu
  2. Gordian Anduru

    1st leg robo fainali cafcl: simba pekee yake ndo timu iliyofungwa

    Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
  3. Gordian Anduru

    Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

    Typing error sijakusudia sasa baba angu kaingiaje humu na wewe kolozdad
  4. Gordian Anduru

    Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

    Gong owa zi ma maako
  5. Gordian Anduru

    Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

    Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm 2019 Simba 0 TP Mazembe 0 2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0 2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0 2023 SIMBA 1 WYDAD 0 Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
  6. Gordian Anduru

    Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Ikulu mlienda kufuata Nini nyie makolo, fainali aingie Yanga nyie muanze kuja kuwahi mbele mbele na akina Oruma wenu na Saleh Jembe na Bin Kachumbari
  7. Gordian Anduru

    Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    HOJA zimekushinda unakazana na makabila na matusi Kwa kuwa unatumia fake id sawa
  8. Gordian Anduru

    Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE HARRASED and arrested, je video au picha itatofaitisha vipi Shabiki msouth Africa, mmisri na Shabiki...
  9. Gordian Anduru

    Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

    Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al...
  10. Gordian Anduru

    Video: Mashabiki wa Simba kwa wingi wakishangilia goli la Al Ahly dhidi ya Yanga 2016

    Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji ameanza Mo Dewji. Kipindi hicho manji anapiga game hizi Mo Yuko Mbagala na Africa Lyons.
  11. Gordian Anduru

    CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Kuna pahala nimeemam uongo? haya hebu tuhesabu hizo mara sita mfululizo ya kwanza 2019 vs To Mazembe, msimu wa 2020 mkatolewa na UDSongo ya pili 2021 Ile msimu wa korona ambapo Hadi namungo aliingia group stage na Simba ikaongoza kundi ikapingwa chuma nne bila na kaizer chiefs ugenini, msimu...
  12. Gordian Anduru

    CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Sasa ndevu zimekujaje au ulitaka use wa kwanza wewee
  13. Gordian Anduru

    Wallace Karia: Jwaneng galaxy FC kufanya mazoezi Avic town ni uzushi na siyo habari za ukweli Bali ni propaganda tu

    Waanzilishi wa propaganda walivyojisikia aibu Baada ya Taarifa hizo za Rais wa Soka https://www.instagram.com/reel/C4IZN9BI8o4/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
  14. Gordian Anduru

    CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  15. Gordian Anduru

    Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

    Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
  16. Gordian Anduru

    Simba anapambana kuvunja rekodi ya miaka 45 ya Yanga kesho

    Dah kazi wanayo kolowizard wajanja wajanja
Back
Top Bottom