Picha 2014: Mashabiki waling'oa viti baada ya Yanga kumfunga Al ahly BAO Moja

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Hii kitambo sana ni 2014 Wanajukwaa wengi Bado hamjaja mjini kuishi Kwa dada. Yanga anampasua Al ahly BAO Moja GOLI la Nadir Harunu Cannavaro. mashabiki wa Simba wanachukizwa na ushindi huo na kuvunja Citi na kuvirusha. Wameanza chuki kitambo sana Hawa makolo
Mwaka 2023 mechi ya Yanga na Al ahly wamerudia tena
9.jpg
11.jpg





 
Back
Top Bottom