Search results

  1. I

    Tanzania kinara wa Demokrasia na Utawala Bora

    Leo nimemsikia Waziri wa Katiba na Sheria akitangaza kuwa huko duniani wame-declare kuwa Tanzania ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na utawala bora. Sasa ukiona wazungu wanaikubali nchi kuwa na demokrasia na utawala bora halafu watu wachache ambao hawafiki hata mia wanaichafua ni kuwa...
  2. I

    Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
  3. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  4. I

    House4Rent Chumba na sebule vinapangishwa kinyerezi

    WANA JF, no eneo zuri kwa makazi liko juu hakuna hofu ya mafuriko karibu na kituo cha magari yaendayo mjini kiujumla ni mahali salama kwa makazi being 100,000 kwa mwezi mawasiliano 0699 522471. Karibuni
  5. I

    Mtaalam wa kukata miti pembeni ya nyumba anahitajika

    Wana Jf, Ninahitaji mtaalam ambaye anauwezo wa kukata miti iliyooitiliza urefu pembeni ya nyumba mi ashoki imekuwa mirefu unajua iko pembeni ya nyumba inahitaji utaalam naomba mwenye ujuzi huo napatikana Tabata Kinyerezi tuwasiliane anifanyie hiyo kazi.
  6. I

    Upotoshaji wa wanasiasa wakishindwa chaguzi

    Hakika tumejionea jinsi uchaguzi wa Tanzania ulivyokuwa tulivu na amani na ndiyo kitu kila mtanzania huwa anakiota maana pasipo na amani maendeleo huwa ni ndoto. Sasa kwa hawa ndugu zetu waliojipachika ukimbizi usio na maana kwa kipi walichokimbia Tanzania nani anawatishia usalama wao...
  7. I

    Mgeni wa jukwaa hili

    Wana jukwaa mimi ni mgeni humu, naomba ushirikiano wenu, asanteni sana.
Back
Top Bottom