Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,355
2,000
Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa CCM siasa safi watakuja kufikia malengo yao
 

Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,716
2,000
nimesikiliza hotuba ya mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze kwa ccm siasa safi watakuja kufikia malengo yao
Nitaamini wakirusha Channel Ten,wewe sikuamini huwa hubalance story ikauzika kwa mlaji
 
  • Love
Reactions: BAK

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,138
2,000
Hakuna kitu hapo. Kimsingi JJ Mnyika ame play safe, hajaaamrisha maandamano kwa kuwa anajuwa athari za maandamano haramu. Kwa wanachama watakao andamana itakuwa ni dhamira yao binafsi na siyo Chama. Yeye amawatahadharisha tu. Huyu Mnyika ni HAZINA nzuri ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baadaye.

Kama JF Ina mwanachama ana sababu za kuandamana next Thursday, namshauri sababu hizo azipeleke Mahakamani ndiko shauri la Mbowe lilipo.
 

Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,355
2,000
Hakuna kitu hapo. Kimsingi JJ Mnyika ame play safe, hajaaamrisha maandamano kwa kuwa anajuwa athari za maandamano haramu. Kwa wanachama watakao andamana itakuwa ni dhamira yao binafsi na siyo Chama. Yeye amawatahadharisha tu. Huyu Mnyika ni HAZINA nzuri ya kuwa Mwenyekiti wa CDM baadaye.

Kama JF Ina mwanachama ana sababu za kuandamana next Thursday, namshauri sababu hizo azipeleke Mahakamani ndiko shauri la Mbowe lilipo.
angalau ana nidhamu hapo angekuja kuongea mdude yaani duuuu angewaharibia kabisa nafikiri watakuwa wamemuonya aache ujinga wake katulia
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,234
2,000
Kukamatwa kwa Mbowe na kusambaratika kwa chama chake, imekuwa pigo kubwa kwa wanaharakati koko ambao waliishi kwa kutegemea mfuko wake.

Bavicha wengi walienda msalani kutokana na vijiela vya bwana mkubwa. Ilikuwa ni rahisi watu kuuza heshima na utu wao kwa sababu ya njaa zao.

Wako wengi hapa JF lkn kutokana na sheria za kimtandao siwezi kuwataja, ila najua wenyewe watajitaja au kujionesha kupitia comments zao hapa JF. Ndio maana toka akamatwe wengi wamepotea hapa jukwaan maana hawana mtu wa kuwalipia bando za kuja kutukana hapa JF.
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
8,663
2,000
Eti siasa Safi za ccm zipi za kutekana na kupiga wapinzani risasi au za kutumia tiss kuiba kura
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,986
2,000
Sijamsikiliza, ngoja nikamsikilize ndio nitoe maoni yangu kama Mwanachama mtiifu kwa Chama changu cha Demokrasia na Maendeleo.
 

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,234
2,000
wakwanza erythrocyte kaishiwa pozi siku hizi
Hahahaha.. dada anaonekana ana elimu kiasi fulan na ni mtu anaejitegemea. Mpaka sasa sijaelewa Mbowe alitumia dawa gani kumnasa kizembe zembe mtu anaejitambua kama yeye.

Nikisema alimnasa kwa dawa siamini uchawi, nikisema alimnasa kwa maneno matupu pia naona dada yetu sio mtu wa kudanganywa na kiongozi aina ya Mbowe.. yan mpk leo nimekosa jibu... Kweli ndege mjanja siku zote ananasa kwenye tundu bovu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom