Upotoshaji wa wanasiasa wakishindwa chaguzi

Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,618
1,481
Hakika tumejionea jinsi uchaguzi wa Tanzania ulivyokuwa tulivu na amani na ndiyo kitu kila mtanzania huwa anakiota maana pasipo na amani maendeleo huwa ni ndoto. Sasa kwa hawa ndugu zetu waliojipachika ukimbizi usio na maana kwa kipi walichokimbia Tanzania nani anawatishia usalama wao Kinachoshangaza zaidi huwa ni hayo mataifa wanayowapokea hao wanaojifanya wakimbizi bila kuangalia hiyo nchi walitoroka kuna vurugu gani hapo lazima tujue kuwa haoni vibaraka wa wazungu wameshindwa walichozamiria sasa wana taka kuchafua nchi kuwa imezalisha wakimbizi cha kuwaombawwatanzania tu ni kuwamakini nawatu kamahao wanasubutukuza nchiyao kwamabeberu ambaomwisho wasiku nikututengenezwa vitaili wafaidirasilimali zanchi yetu
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na hao wazungu sio wajinga bali kila kitu kiko wazi.
 
Jitahidi kuusema ukweli kutoka moyoni kwako,kufanya hivyo utapata amani ya kweli ndani ya moyo wako na baraka katika maisha yako na vizazi vyako.
 
Wewe ndiye kichwa hapo Lumumba?

Uandishi mbovu, maandishi hayajapangwa na hoja hovyo kabisa. Lkn Cha ajabu ndiyo inaonekana wewe ndiyo kichwa mpk umepewa kazi kuandika mitandaoni kwa ujira wa buku 7.

Shubamiti!!
 
Hakika tumejionea jinsi uchaguzi wa Tanzania ulivyokuwa tulivu na amani na ndiyo kitu kila mtanzania huwa anakiota maana pasipo na amani maendeleo huwa ni ndoto. Sasa kwa hawa ndugu zetu waliojipachika ukimbizi usio na maana kwa kipi walichokimbia Tanzania nani anawatishia usalama wao Kinachoshangaza zaidi huwa ni hayo mataifa wanayowapokea hao wanaojifanya wakimbizi bila kuangalia hiyo nchi walitoroka kuna vurugu gani hapo lazima tujue kuwa haoni vibaraka wa wazungu wameshindwa walichozamiria sasa wana taka kuchafua nchi kuwa imezalisha wakimbizi cha kuwaombawwatanzania tu ni kuwamakini nawatu kamahao wanasubutukuza nchiyao kwamabeberu ambaomwisho wasiku nikututengenezwa vitaili wafaidirasilimali zanchi yetu
Watanzania siyo wajinga wanajua Nani anastahili kuwa Rais.
Wapinzani kukimbilia nje ni kuganga njaa na kucheza karata ya madaraka kwa mgongo wa support ya baadhi ya wazungu
 
Endeleeni na wimbo huo huo wa kura kuibwa. 2025 itawakuta hamjajiandaa alafu mnapewa tena za uso na MAJALIWA alafu mnatafuta wimbo Mwingine kama huu...mnaendelea nao tena mitandaoni. Nani ameuloga upinzani wa Tanzania?
jipangeni...
Hivi unaweza kuwaibia kura watu wa Jimbo la Moshi mjini na wakuache salama? Jimbo la Iringa mjini? Kigoma mjini? Arusha mjini....?
Acheni mzaha....CHADEMA safari hii wananchi wamewakataa.
Ila mkijipanga mtajenga tena chama chenu.
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na hao wazungu sio wajinga bali kila kitu kiko wazi.
Wewe mweupe nenda ukachapane mikasi na Amsterdam huko, mutuache na nchi yetu nyie wenye mapua ya pink.
 
Back
Top Bottom