Search results

  1. Hata Sina kinyongo

    Wanasiasa pingeni na pigeni marufuku ufundishwaji wa wanafunzi masuala ya uzazi

    Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!? Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!? Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa...
  2. Hata Sina kinyongo

    Eddo Kumwembe, achana na siasa ndugu, itakugharimu!

    Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu. Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B. Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara...
  3. Hata Sina kinyongo

    Wamiliki wa maroli nchini Kenya wazuia maroli yao kuvuka kwenda Uganda kwa hoja ya madereva wa Kenya kunyanyapaliwa

    Ukistaajabu ya Musa... Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda. Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
  4. Hata Sina kinyongo

    Kwani mheshimiwa Sumaye alitishwa kwa yeye kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa Chadema!?

    "Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"! Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema. Hoja hapa ni kwa nini...
  5. Hata Sina kinyongo

    Huyo jamaa ana Mungu.Miaka minne alivyoongoza Nchi kwa jasho na damu na bado anadunda!?

    Huyo jamaa kwa magumu aliyopitia kwa miaka minne kama Kiongozi wa Nchi kwa hakika ana Mungu na ni muda muafaka aachwe tu. Matusi,chuki,kukatishwa tamaa na hata kutabiliwa kifo ilikuwa ni rahisi kwake kukata tamaa na pengine angeamua tu kuwa upande wa mafisadi ili kuwafurahisha wakosoaji na...
  6. Hata Sina kinyongo

    Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

    Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero. Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni...
  7. Hata Sina kinyongo

    Uwezekano wa Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya Makonda ni zaidi ya asilimia 80

    Ni wazi kwamba baada ya Makonda pale Dar es salaam Chalamila ndiye atakaye fuata.Kwanini? Ndiye kipenzi cha mkulu baada ya Makonda. Ndiye mwenye uthubutu wa wazi wa kupambana na wapinzani (hii ni sifa kuu)! Ndiye RC (Tiss) aliyeiva katika eneo la propaganda! ...
  8. Hata Sina kinyongo

    Hatimaye mpaka baina ya Tanzania na Rwanda wafunguliwa

    Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana. Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru...
  9. Hata Sina kinyongo

    Kwa nia njema tu nawauliza CHADEMA na wengine mnaotaka lockdown: Kwanini msiwashawishi wanachama wenu wakae ndani hadi Corona iishe!?

    Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema. Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
  10. Hata Sina kinyongo

    Dongo la Rais Magufuli, askofu Bagonza kufungua makanisa ili yaanze ibada

    Askofu Bagonza wa KKKT huko Karagwe anatarajiwa kuruhusu ibada ziendelee baada ya kuzuia kwa muda ili waamini wake wajikinge na Covid 19. Anatarijiwa kutoa mwongozo wa namna ipi ibada zitaratibiwa ili kwalo waamini waepukane na maambukizi ya Covid 19. Mungu ibariki Tanzania na timu ya Yanga.
  11. Hata Sina kinyongo

    Kwetu mahindi debe ni elfu Tano tu! Huko kwenu hali ya bei ya mazao ikoje?

    Haijawahi kutokea! Huku kwetu wilaya ya Kishapu mkoa wa Shinyanga bei ya mazao hususan mahindi ni yakuridhisha kwa kweli. Bei ya debe moja kwa mfano la mahindi ni tsh 5000 ilhali kabla ilikuwa ni tsh elfu ishirini! Kilichobaki ni shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu kwa neema hiyo. Huko kwenu...
  12. Hata Sina kinyongo

    Mbona vifo tata vimepungua sana!?

    Kwakweli hali ni tofauti na wiki mbili nyuma vifo tata na hata uenezwaji wa taarifa za vifo vihusianavyo na Corona havisikiki tena! Hata wanaharakati waliokuwa wakitujuza misiba mbalimbali na kuihusianisha na Covid 19 pia wapo kimya! Ndiyo kusema Corona bye-bye!? Mungu ibariki Tanzania na...
  13. Hata Sina kinyongo

    Natabiri Mzee Maalim Seif kurejea CCM na atastaafu siasa kabla ya Uchaguzi mkuu ujao 2020

    Nikiangalia mchezo uliochezwa na unaoendelea kuchezwa na NCCR MAGEUZI ni wazi ni mpango uliopangika vyema mno. Ikumbukwe pamoja na Mbatia pia ndg Maalim Seif alifika Ikulu ya Dar es salaam kwa kile kilichoitwa kuteta na mheshimiwa Rais mambo kadha wa kadha yahusuyo Nchi. Lakini, naamini...
  14. Hata Sina kinyongo

    Tetesi: Kuna tetesi kwamba Kiwanda cha cement CIMERWA huko Rwanda hatarini kufungwa kwa kukosa makaa ya mawe kutoka nchini Tanzania

    Hali ni mbaya! Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz. Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania...
  15. Hata Sina kinyongo

    Hivi ule mradi wa urenium huko mto mkuju wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma uliishia wapi!?

    Mapema mwaka 2011 mradi ule ulishika kasi sana na hata kupelekea makampuni ya Mantra na Uranex kuanza kuajili nguvu kazi kwa ajili ya utekelezwaji wa mradi ule. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni si tu mradi ule unaendelea pia hata kusikika tu uendelezwaji wake ni kimya! Ni kipi kiliukumba...
  16. Hata Sina kinyongo

    Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

    Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa. Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile...
  17. Hata Sina kinyongo

    Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

    Inaitwa man to man! Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa! Chanzo ni...
  18. Hata Sina kinyongo

    Kuendelea na shughuli zao za kawaida je Watanzania wamekubaliana na Rais wao!?

    Pamoja na janga la Covid 19 kuendelea kuukumba Ulimwengu na karibu Nchi nyingi kuwafungia wananchi wao lakini hali ni tofauti kwa upande wa baadhi ya mataifa ikiwa pamoja na Tanzania. Watanzania wengi wameendelea na shughuli zao za kawaida kama wanavyoaswa na Rais wao na inaonyesha hawana...
  19. Hata Sina kinyongo

    Ayapambaniaye maisha yake atayaangamiza!

    Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA. Wajuvi, kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
  20. Hata Sina kinyongo

    Turufu kubwa ya Serikali ya Tanzania katika Ukanda huu wa Afrika ya Mashariki ni Burundi na Uganda

    Tanzania bado ni nchi itayoitawala Afrika Mashariki kwa miaka mingi ijayo. Kwanini; Ieleweke, usalama na uhakika wa kuwa hapo alipo Rais Museveni bado ni uimara wa kiulinzi, kiintelijensia na kwa kutotaka kuungana kwa Serikali ya Tanzania na Rwanda ili kumuondoa Kaguta pale alipo japo Rwanda...
Back
Top Bottom