Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Hali ni mbaya!
Kiwanda hicho kipo Bugarama nchini Rwanda.Inasemekana mda si mrefu kitafungwa kwa kukosa malighafi ya makaa ya mawe ambayo kwalo huwa yanatoka upande wa Tz.
Ikumbukwe leo ni takribani siku ya 18 mpaka baina ya Tanzania na Rwanda haufanyi kazi kwasababu ya madereva wa Tanzania kupinga unyanyasaji na kubaguliwa huko upande wa Rwanda.