Kwani mheshimiwa Sumaye alitishwa kwa yeye kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa Chadema!?

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
"Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!

Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.

Hoja hapa ni kwa nini Sumaye alitishwa!?

Kwa nini Mamlaka za Serikali hasa vyombo vya dola havijafanya uchunguzi wa kutishwa kwa mtu mwenye nafasi ya Waziri Mkuu mustaafu!?

Inashangaza sana kwa mtu mzito tena Waziri Mkuu mustaafu kutishwa na Mamlaka zikakaa kimya!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
 
Alitaka kukiteka chama ambacho ni tumaini la watanzania.
 
Tatizo watanzani tunapenda kuona tu kila jambo linapelekea kunyanyasa wengne

Hilo neno walitamka wakiwa ndani ya vikao vya chama

Na alie lisema amelisema bado kisiasa sasa kila jambo la kisiasa ukipeleka polisi ichunguze utajikuta ni mzigo usio kuwa nafaida kwa jamii
 
Alitishwa kwa sababu ya muendelezo wa uminywaji wa demokrasia ndani ya chadema.
kama mnavyo mfahamu mbowe ni mbakaji demokrasia ndani ya chadema na kujenga hoja awezi kwa iyo mwisho wake uwa ni vitisho na propaganda za kusema wapinzani wake wamenunuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Niliambiwa na Mwenyekiti wa sasa SUMU HAIONJWI"!

Ni kauli ya mheshimiwa Waziri Mkuu mustaafu ndugu Sumaye punde tu alipoangushwa kwa kura za hapana mara baada ya yeye kutamka wazi baada ya uenyekiti wa kanda ya Pwani pia atagombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa ya Chadema.

Hoja hapa ni kwa nini Sumaye alitishwa!?

Kwa nini Mamlaka za Serikali hasa vyombo vya dola havijafanya uchunguzi wa kutishwa kwa mtu mwenye nafasi ya Waziri Mkuu mustaafu!?

Inashangaza sana kwa mtu mzito tena Waziri Mkuu mustaafu kutishwa na Mamlaka zikakaa kimya!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
ushahidi wa Sumaye kutishwa u wapi?
 
hapana hakutishwa alikumbushwa tu sumu haionjwi kwa ulimi, kwani kunakitisho hapo?
 
Back
Top Bottom