Hatimaye mpaka baina ya Tanzania na Rwanda wafunguliwa

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.

Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru pasi na vikwazo vya kubaguana na kunyanyapaliana kama hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
 
Ingekuwa vizuri kama hawa madakitari wangechanganyika (moja wa Rwanda na moja wa Tz) ili kuwe na fair play pande zote kwa kituo kimoja kimoja. Kila nchi iweke madakitari wake kwa upande wa nchi nyingine ili tusije kujikuta kuna upendeleo katika kutoa majibu na kuzua mabishano. Upande moja ukipima basi wote madakitari 2 wasaini cheti cha driver kwa pamoja. Nafikiri hata ma driver watajisikia vzr kama anapimwa na huku akisikia lugha ya dakitari upande wake anajua kama nimeambiwa ninayo Corona haina ubishi.
 
Sasa shughuli za mpaka baina ya Tanzania na Rwanda zimerejea kama kawaida kuanzia jana mchana.

Sintofahamu baina ya pande mbili zimetatuliwa na kupelekea makubaliano sasa madereva wa Tanzania na Rwanda watapimwa pande zote mbili na watapatiwa vyeti vitavyowafanya kufanya shughuli zao kwa uhuru pasi na vikwazo vya kubaguana na kunyanyapaliana kama hapo awali.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wale wake za mbowe ngoja kidogo utawasikia humu soon!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom