Wanasiasa pingeni na pigeni marufuku ufundishwaji wa wanafunzi masuala ya uzazi

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!?

Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!?

Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa watoto wetu.

Viongozi wa Dini lipingeni hilo kwa nguvu zote jambo hilo kama walivyofanya wenzenu wa Kenya kwa maana mafunzo hayo yana hasara nyingi kwa mustakabali wa wanafunzi kuliko faida.

Ni ujinga/ujuha kimfundisha mtoto wa shule namna ya kujikinga na mimba afanyapo mapenzi na mpenzi wake-pumbavu kabisa!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
 
Ungejua wewe ndio kilaza

Watoto wanatakiwa kujitambua, walipo na wanapokwenda

Sio wanakuwa mbumbumbu hadi kwenye mambo ya uzazi

Mbona unakilaza mkuu
 
... hao si ndio madaktari wa kesho? Au unataka neno "uke" mwanafunzi akakutane nalo chuo kikuu kwa mara ya kwanza? Ha ha ha! Hayo mambo ya asili tu Mkuu bila hayo mwanadamu hajawa mwanadamu.
 
We ni mpumbavu wa mwisho kabisa umesababisha hata point nilizotaka kukupa hapa zimeyeyuka kwa kukuwaza kuwa una akili ya aina gani.
Inawezekana mimi kweli kuwa mpumbavu wa mwisho lakini pia mpumbavu namba moja ni yule anayekubali mwanae apewe mafunzo ya uzazi kwa vitendo na nahisi upo katika kundi hilo!
 
Usipomfundisha atafundishwa duniani tena itakuw sio theory tena bali practical
 
Back
Top Bottom