Search results

  1. S

    Vifaru Abrams vya Marekani vyaondolewa vitani Ukraine baada ya kuchomwa mno na droni za Urusi

    Marekani yasema kuwa imekubaliana na Ukraine kuondoka vifaru vyake vya Abram kwenye uwanja wa vita na Urusi huko Ukraine. Uamuzi huo wa kuondoka vifaru hivyo vinavyodaiwa kuwa ni namba moja kwa ubora duniani na vilivyofanya vizuri kwenye vita ya Afghanistan dhidi ya wanamgambo wa kitalibani...
  2. S

    Iran yalidogesha shambulio la Israel, yasema droni zilizotumika ni kama "matoi"

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo akaendelea kuchambua kuwa silaha zilizotumika zinazodaiwa kuwa ni droni (tatu) kiuhalisia ni kama...
  3. S

    Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel kutumia kati ya shekel bilioni 4 hadi 5 (zaidi ya USD bilioni 1) kwa usiku mmoja tu ktk kujilinda...
  4. S

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Iran imeandika historia mpya Ulimwenguni kwa kufanya shambulizi la kipekee ambalo halijawahi kushuhudiwa toka dunia iumbwe. Shambulizi lile litaendelea kutumika ktk mafunzo ya vyuo vya kijeshi vya nchi za Ulimwengu wa kwanza. Kwa hakika safari hii Iran imetoa salamu za kipekee si kwa Israel tu...
  5. S

    USA yakiri kuwa Urusi imeshachoma magarivita 34 ya kimarekani aina ya Bradley kwenye Counter-offensive!

    Marekani yaripoti kuwa Urusi imeshayaangamiza jumla ya magarivita 34 ya Bradley kwenye Counter-offensive ya Ukraine iliyofeli vibaya mno. Idadi hiyo ni karibu theluthi moja ya magarivita ya aina hiyo yaliyopelekwa na Marekani nchini Ukraine kupambana na Urusi (magarivita yasiyopungua 100)...
  6. S

    Zelensky akiri kuwa Counter offensive imefeli, ailaumu Urusi kwa kuifelisha Counter offensive

    Uingereza yaripoti kuwa Zelensky amekiri kuwa Counter offensive imeshindwa kwenda kama walivyopanga. Zele adai sababu ni kuwa Urusi imetumia kila resource iliyo nayo kuzuia ufanisi wa Counter offensive ya Ukraine + Marekani + NATO. Kumbe ndo maana waUkraine wa Kibaigwa wamekuwa kimya kwa muda...
  7. S

    NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

    Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO zilizo karibu na Belarus. Malalamiko hayo yamezungimzwa na marais wa...
  8. S

    Putin alikuwa kishaamua kummaliza (wipe-out) Prigozhin, Lukashenko akamshawishi kutofanya hivyo, badala yake kumhamishia Belarus

    Rais Lukashenko wa Belarus amesema kuwa Putin alitaka kum-wipe out (kumdedisha) Prigozhin alipokuwa kwenye jaribio lake la uasi dhidi ya Waziri wa Ulinzi wa Urusi. Badala yeke Lukashenko akamshawishi Putin asimuue, na amuhamishie nchini Belarus ili jeshi la Belarus wanufaike na mafunzo makubwa...
  9. S

    Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  10. S

    Urusi yawatunuku Nishani wanajeshi wake waliochoma Leopard tanks (nne) na Bradley fighting vehicles (tano)

    Urusi imewatunuku nishani za juu zaidi za kijeshi (Hero of Russia Gold Star) wanajeshi wake waliochoma na kuharibu vifaru vinne vya vya Ujerumani (Leopard tank) na magarivita matano ya mMarekani aina ya Bradley fighting vehicles wakati Ukraine walipojaribu kutumia zana hizo kwenye kufanya...
  11. S

    Ukraine yapigwa 'Counter Air Strikes' na Urusi; Air bases zake tatu zapigwa kiberiti ili kudhoofisha Counteroffensive

    Usiku wa jana na juzi (June 10th na 9th), Urusi imezipelekea moto mkali Air base ya Ukraine (Mirgorod Air Base) kwenye mkoa wa Poltava Oblast, ambapo ndio ngome ya kikosi cha 40th Tactical Tactical Aviation Brigade kinachotumia na kurusha ndegevita aina ya MiG-29 fighters. Ukraine yasema Russia...
  12. S

    Urusi yaduwaza Ulimwengu kwa kutumia pesa kiduchu kuendesha vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa vitani

    Russia yastaajabisha Ulimwengu kwa kutumia kiasi kidogo mno cha pesa kwenye vita ya Ukraine licha ya mafanikio yake makubwa kwenye kutwaa ardhi na miji mbalimbali ya Ukraine ikiwemo Bakhmut. Economist yasema Urusi inatumia 3% ya GDP yake, sawa na Dola bilioni 67 tu, kiwango ambacho ni kidogo...
  13. S

    Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  14. S

    Patriot air defense ya pili ya Marekani imechinjwa na Urusi huko Ukraine

    Jana jumatatu Urusi ilifanya mashambulizi makali ya anga na kuharibu Patriot missile defence system ya pili. Katika mashambulizi hayo, pia bohari kubwa za silaha za NATO zilichomwa. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Shoigu. Shoigu amesema hiyo ni Patriot ya pili kuharibiwa...
  15. S

    Urusi yachoma Lab ya nyuklia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine, Marekani yalalamika

    Lab ya nyuklia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine imechakazwa vibaya na kuharibiwa nyang'anyang'a na makombora ya Urusi. Staff wa lab hiyo wanasema Urusi kwa makusudi imekuwa ikiipelekea lab hiyo moto mkali wa mabomu na maroketi ya kufa mtu kwa zaidi ya mara 100 sasa. Serikali ya...
  16. S

    Urusi leo yachoma ndegevita tano za Ukraine na uwanja wa ndege wa kijeshi; maafisa wa Ukraine huficha ukweli wa uharibifu

    Reuters yasema kuwa leo Urusi imeipelekea Ukraine moto mkali mno na kuchoma vibaya vituo vya kijeshi vya Zelensky. Mashambulizi ya anga yamechoma uwanja wa ndege wa kijeshi pamoja na ndegevita tano magharibi mwa Ukraine kwenye mkoa wa Khmelnytskiy. Bloomberg imefafanua zaidi kuwa ktk mashambulio...
  17. S

    Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

    Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
  18. S

    BBC: Urusi yakamata Magarivita ya USA yaliyotumiwa na magaidi ya Ukraine huko Belgorod, Marekani yajitenga na tukio hilo

    BBC yaripoti kuwa Urusi imewaua waasi 70 toka Ukraine waliojipenyeza na kuingia kwenye mpaka wa Russia na Ukraine, kwenye mkoa wa Belgorod, wakitumia magarivita ya Marekani ikiwemo MRAPs (Mine-Resistant Ambush Protected vehicles) na Humvees (The High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicles)...
  19. S

    Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

    Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi. Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa...
  20. S

    CNN: Leo Urusi imeuteka rasmi mji wote wa Bakhmut licha ya silaha kali za USA+NATO zilizomiminwa Ukraine kuilinda Bakhmut

    CNN yaripoti kuwa hatimae leo Wagner wameukomboa mji wote wa Bakhmut licha ya jitihada kubwa za Marekani + Uingereza + Ujerumani + NATO kutuma kila aina ya silaha walizoziamini (kupitia mahesabu ya kwenye makaratasi) kuwa zingekuwa mwarobaini (a.k.a. game changer) wa kuishinda Urusi vitani...
Back
Top Bottom