usalama wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila

    Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila. Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
  2. K

    Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mithali 11:6. Haki huokoa wenye HAKI. Fitna za kisiasa utawanaswa wenye Hila. HAKI ndio usalama wa nchi na sio vinginevyo

    MITHALI 11:6. HAKI HUOKOA WENYE HAKI. FITNA ZA KISIASA ITAWANASWA WENYE HILA. HAKI NDIO USALAMA WA NCHI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mithali 11:6 Haki yao wenye haki itawaokoa; Bali wafanyao fitina watanaswa kwa hila yao wenyewe. Bado Kuna mtifuano ndani ya nchi. Mambo...
  4. Influenza

    Mzee Upako: Biblia inaruhusu kuteka na kuua waliokula kiapo na hawashtakiki siyo wanaokosoa serikali

    Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”...
  5. Ezra cypher

    Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

    Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa. I hold this qualifications. Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana. Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya. Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na...
  6. Yoyo Zhou

    Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  7. Kiungopunda

    Maandamano Kenya na hatari ya usalama wa nchi yetu

    Kwa hiki kinachoendelea Kenya na kinachofanywa na vijana dhidi ya ongezeko la gharama za maisha ni tahadhari kwa viongozo waliopo madarakani nchini mwetu. Kawaida, mwanadamu yeyote ana kiwango cha uvumilivu hususani pale anapokosa uhakika wa Kesho tonana na ugumu wa maisha, kukosa ajira...
  8. S

    Kwanini polisi haimkamati Mwijaku ili kupata undani wa tuhuma nzito dhidi ya Masoud zinazotishia usalama wa nchi?

    Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na zinatishia usalama wa nchi. Nilitegemea polisi kwa haraka sana wamkamate Mwijaku na kumhoji kwa undani...
  9. Kaka yake shetani

    Mipaka ya Tanzania kuna usalama mdogo. Kwanini Jeshi la Polisi lisengeweka kitengo kinaitwa ranger?

    Matukio unayosikia ya kutisha kama watu au mtu kuvamiwa na kuuliwa mengi yapo mipakani sababu wahalifu wanapata mwanya mzuri wa kukimbia au kuja. Jeshi la polisi linatakiwa kuweka kitengo cha polisi kinachoitwa ranger . majukumu yake ni polisi ambao wapo mipakani tu na vijijini vilivyo na...
  10. BARD AI

    Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi

    Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa. "Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
  11. Allen Kilewella

    CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

    Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist tulielewa. Huko tulikotoka kabla ya mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporudishwa tena, mambo ya...
  12. Roboti Wa Nape

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  13. Msanii

    Usalama wa Nchi ni jambo tukufu na kipekee sana. Tusibweteke na kumpongeza CDF pekee

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
  14. R

    Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  15. Naanto Mushi

    Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  16. S

    NATO walalamika kuwa Prigozhin kuhamishiwa Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO za ukanda huo

    Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha zaidi usalama wa nchi za NATO zilizo karibu na Belarus. Malalamiko hayo yamezungimzwa na marais wa...
  17. Intelligence Justice

    Njia kuu za Kiuchumi, Rasilimali na Usalama wa Nchi Kimataifa Kubinafsisha Wageni Sio Sahihi

    Wakuu Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje 1. Usafiri wa anga 2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine 3...
  18. Z

    Kama usalama wa nchi wanachama hauzingatiwi kikamilifu siioni Jumuiya ya Afrika Mashariki ikidumu

    NATO ina kipengele kwamba nchi mwanachama ikivamiwa lazima nchi zote za NATO wampige adui kwa pamoja Kwenye EAC, tungeweka kipengele kwamba : ikiwa nchi mwanachama itavamia nchi yoyote ndani ya Jumuiya au kushirikiana na kikundi cha uasi ndani ya EAC ,basi nchi hiyo itakuwa imekosa sifa ya...
  19. BARD AI

    Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  20. BARD AI

    Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
Back
Top Bottom