Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,888
15,327
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.

Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======

Screenshot_20230526-070333_Chrome.jpg
Screenshot_20230526-072506_Chrome.jpg
 
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.

Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======

View attachment 2634991View attachment 2635005

hehehe kichwa cha habari nikadhani wanajeshi, kumbe msataafu, hao wastaafu ndio wamesaidia hadi sasa Bakhmut imeshindikana mpaka hawa Wagner wameamua kuikimbia baada ya kujitangazia ushindi.....ni mwendo wa takbirrrr
 
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.

Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======

View attachment 2634991View attachment 2635005
Yule mtanzania tarimo bado familia yake haijalipwa fidia na Wagner
 
za wanadamu wenzako kufa?

Kabla ya kufurahi huwa najaribu kuwaza wafiwa hali wanayopitia dah inauma mno

Wangekuwa wanakufa akina Biden, Putin, Zelensky na wanasiasa wanaosababisha hali hii ingekuwa fresh kabisa
Mkuu, kwani huyo mwanajeshi wa 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 Special forces hizo silaha alizovaa/beba zilikuwa ni kwa ajili ya kuua tumbili au watu?

Acha afe tu, Wagner (K.K. Security) wamemuwahi mwanajeshi mweledi Special forces wa Super Power 🇺🇸....

Screenshot_20230526-072506_Chrome.jpg
 
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.

Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======

View attachment 2634991View attachment 2635005
Ovyo sana huyu, hao ni wanajeshi wachache waliojitolea wenyewe kwa hiari zao kupigana upande wa Ukraine na wapo raia na wanajeshi kutoka mataifa mbali mbali duniani ambao kwa huruma zao tu wameona wasaidie upande wa Ukraine sio kwamba ni Wanajeshi waliotumwa na NATO makhsusi.

Sasa kama anakabidhi miili 2 ya hao wanajeshi., yeye atakabidhiwa 22,000 kama alivykiri huyu kiongozi kwamba hao waliuliwa upande wao.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom