Search results

  1. Somoche

    NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

    Wanabodi kuna hii Taarifa nimeiona Kwenye media zingine ikisema Shirika la Mazingira Nchini NEMC Limeitoza Kampuni ya Lake Oil Fine ya Tsh Bil 3.3 kwa kujenga vituo vingi sehemu tofauti za Nchi bila Kibali. Hili limekua kama mshituko hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba suala la mipango miji...
  2. Somoche

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane. Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua. Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
  3. Somoche

    Mwaka Mmoja Tangu kifo cha Billionea Reginald Mengi Tunamkumbukaje? Ni nini tumejifunza kutokana na maisha yake? Je, pengo lake limezibwa?

    Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa? Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
  4. Somoche

    Serikali izimulike shule binafsi. Watoto wa darasa la 4 wanaumizwa na ratiba ngumu ya shule hizi

    Ndg wanabodi sisi wazazi tunatakiwa kuwalinda na kuwaelimisha watoto kadri Mungu anavyotujaalia.Hivi karibuni imeibuka tabia ya hizi shule zinazoitwa English Medium, academy au vyovyote ziitwavyo kulazimisha watoto wa darasa la 4 au la 7 wahamie boarding walale hapo hapo. Kama mjuavyo mtoto wa...
  5. Somoche

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Wanabodi tumbua imeendelea tena usiku huu nasoma hapa kwa uhakika kabisa Bwana Ngamlagosi ambae ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA amesimamishwa kazi na Waziri Mkuu. Sababu za kusimamishwa hazijatajwa. Pole bwana Felix haya madaraka ya umma magumu sana.
  6. Somoche

    PICHA: Athari ya mafuriko sehemu mbalimbali Dar es Salaam 13 Machi, 2017

    Wanabodi, kuna mvua kubwa sana tangu alfajiri ya leo hapa Dar hasa maeneo ya Mwenge, Sinza yote, Mtogole. Vipi wale wa mabondeni wako salama? PICHA Mbezi Beach Mwai Kibaki Road (Old Bagamoyo Road)
  7. Somoche

    Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

    Wanabodi. Mpaka sasa Arsenal ameshakula 5, ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita. Anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi. Kwanini asiache hii timu? Anajisikiaje kung'ang'ania kitu...
  8. Somoche

    Adhabu ya Kunyongwa hadharani irudishwe

    Kuna ubadhirifu mkubwa unafanyika kwenye hii nchi..na kwa jinsi hali ilivyo mambo yataendelea kuwa mabaya kila uchao..mtaona barabara mfano ya kutoka kjitonyma mpaka Afrikasana imejengwa na sasa imeharibika kabisa kwasababu ya wizi wa fedha zetu...natoa wito sasa majizi hawa wawe wananyongwa...
  9. Somoche

    Mauaji ya Kutisha Tarime

    Jamani kumejitokeza Mtu/ kikundi cha watu Wilayani Tarime kinachoua watu katika hali ya kusshtua na kushangaza sana, mimi binafsi nina taarifa za watu wawili waliouwawa jana na hao wauaji, jambo la kustikitisha ni kwamba wauaji hao tangu wameanza kuua yapata wiki moja sasa bado hawajakamatwa na...
  10. Somoche

    Ramani ya Nyumba Inahitajika

    Wakuu Nahitaji ramani ya nyumba au mwenye Architecture mzuri anaechora ramani nzuri mzoefu wa kazi hii, anisaidiem,au pia anisaidie Website yenye mambo ya nyumba na muonekano wake...
  11. Somoche

    Wadada wa kazi na watoto wetu

    Ndugu zangu, Leo asubuhi mida ya saa 12 nimekutana na watoto wadogo 2 wakiwa na mdada wa kazi maarufu kama beki 3 au House girl, nikiwa natoka mazoezini dada yule alikua anawasindikiza wale watoto wadogo kwenda kuanda basi la shule.kwa haraka wale watoto wana umri wa miaka 3 na mwingne 3...
  12. Somoche

    Flu Isiyoisha, msaada!

    Wakuu nisaidieni nina tatizo la flue isiyoisha, kila baada ya siku 3 nakua na flue yaani inanikera sana..kama mtu unaeza nisaidia nipate tiba wapi au nitumie dawa gani ntashukuru sana,..
  13. Somoche

    Bomoa bomoa sala sala

    Kuna bomoa bomoa kubwa imefanyika kule salasala eneo la benaco...inasemekana wavamizi walivamia eneo hilo bila kuwa na vibali vya kulimiliki...wito wangu kwa watanzania wenzangu acheni kuvamia maeneo ya watu na pia serikali iwaandalie wananchi wke maeneo maalumu ya kuishi ili kuondoa migogoro ya...
  14. Somoche

    Msiba

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara bwana Bartholomeo Machage Amefiwa na dada yake aliyekua amelazwa Kwenye Hospitali ya Aghakhan....msiba uko Mwananyamala na mwili utasafirishwa kwenda Tarime kwa mazishi siku ya ijumaa...bwana ameto na ametwaa jina lake lihimidiwe sana...
  15. Somoche

    Yuko wapi Lubunga Biyaombe?

    Wakuu naomba kuuliza nani mwenye Taarifa za Mtangazaji wa BBC anaitwa Lubunga Biyaombe? jamaa alikua anatangaza kutokea kule D.R.C..
  16. Somoche

    Ccm yandaa kadi feki za chadema kutumika leo

    Katika maadhimisho ya miaka ya kuzaliwa kwa CCM kuna mkakati wa kurudisha kadi za CHADEMA unaoratibiwa na idara ya propaganda ya CCM kuonesha kama ni wanachadema waliochoshwa wanarudisha kadi
  17. Somoche

    Kijijini kwetu

    Hapa ndio kijijini kwetu na hii ni shule niliyosoma elimu ya msingi...hapa hakuna Mafuriko wala uchafu..hewa safi,maji ya kunywa unachota mtoni masafi toka milima isiyo na chembe ya uchafu...maisha ni mazuri sana huku...
  18. Somoche

    Pendekezo: Katibu wa Bunge ajiuzulu kwa kupotosha taifa

    Kwa kutuona sisi Watanzania nni Majuha na mazezeta natoa wito huyu Katibu wa Bunge ndg Kashilila ajiuzulu mana amedanganya umma huyu nae ni mwizi na fisadi tu...kama hataki tulianzishe maandamano
  19. Somoche

    Bunge linapwaya namkumbuka sitta

    Bunge linaloendelea sasa linakera Sana maana ni sehemu ya mipasho,majungu,fitna,chuki na mipasho yaani hakuna anaeomba muongozo kwa kifungu maana inaonekana hawajui wanasimama tu na kupashan SITTA RUDI ULIOKOE BUNGE LIWE LA VIWANGO...
  20. Somoche

    Yahoo inasumbua!

    wakuu leo najaribu kuingia kwenye e mail yangu ya yahoo lakini haifunguki ni mimi tu ama nyote?!! nisaidieni watalaamu
Back
Top Bottom