PICHA: Athari ya mafuriko sehemu mbalimbali Dar es Salaam 13 Machi, 2017

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,691
8,873
Wanabodi, kuna mvua kubwa sana tangu alfajiri ya leo hapa Dar hasa maeneo ya Mwenge, Sinza yote, Mtogole.

Vipi wale wa mabondeni wako salama?

PICHA

Mbezi Beach
index.jpg

index.jpg


Mwai Kibaki Road (Old Bagamoyo Road)
f7f8b4a4012995bc6e1547a4c981a849.jpg




 
Back
Top Bottom