Kijijini kwetu

Kijijini kwetu

Somoche

Platinum Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
7,059
Reaction score
9,698
Hapa ndio kijijini kwetu na hii ni shule niliyosoma elimu ya msingi...hapa hakuna Mafuriko wala uchafu..hewa safi,maji ya kunywa unachota mtoni masafi toka milima isiyo na chembe ya uchafu...maisha ni mazuri sana huku...

SAM_0308.JPG
attachment.php
 
Karibu tena saiv tunatengeneza hotel kwa ajili ya wageni
 
red soil implies Iron rich soils
hamna dhahabu/nickel?
 
ingekuwa vizuri ukaonyesha madarasa kuliko kuonyesha kibao tu maana hata chenyewe kinaonekana kuchoka sana hiyo shule itakuwepo kweli. Nitarudi baadae kidogo
 
Hapa ndio kijijini kwetu na hii ni shule niliyosoma elimu ya msingi...hapa hakuna Mafuriko wala uchafu..hewa safi,maji ya kunywa unachota mtoni masafi toka milima isiyo na chembe ya uchafu...maisha ni mazuri sana huku...

View attachment 44125
attachment.php
Ehud Barack alipotamka kuna nchi hajui kama zina Exists ! Kweli Tanzania ni Kubwa... Siasa zetu zitatufikisha hivi hivi Hado end of the World...
 
nitakuja kuwatembelea nikirudi huku niliko 😛oa.Nalog off
 
Back
Top Bottom