Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge linapwaya namkumbuka sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Somoche, Jun 13, 2011.

 1. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,302
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Bunge linaloendelea sasa linakera Sana maana ni sehemu ya mipasho,majungu,fitna,chuki na mipasho yaani hakuna anaeomba muongozo kwa kifungu maana inaonekana hawajui wanasimama tu na kupashan SITTA RUDI ULIOKOE BUNGE LIWE LA VIWANGO...
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kabla hujamuombea Sitta kurudi kuwa Spika tena omba rtostam, Lowassa na Chenge wafe kwanza vinginevyo itakuwa ndoto cha mchana....
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,408
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Hili bunge sasa hivi linatia aibu. Kama watoto wa Nursery.
   
 4. Rocket

  Rocket Senior Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tangu Six atoke bungeni,bunge limekuwa nyumba ya sanaa
   
Loading...