Ccm yandaa kadi feki za chadema kutumika leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yandaa kadi feki za chadema kutumika leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Somoche, Feb 5, 2012.

 1. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Katika maadhimisho ya miaka ya kuzaliwa kwa CCM kuna mkakati wa kurudisha kadi za CHADEMA unaoratibiwa na idara ya propaganda ya CCM kuonesha kama ni wanachadema waliochoshwa wanarudisha kadi
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wape pole mbona sisi tuna kadi za ccm lakini kura ni chadema
   
 3. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wapuuzi sana, hivi bado wana hayo mawazo ya zamani namna hiyo? ccm itakufa tu na huu ugonjwa wa akina Mwakyembe na Lowassa hautawaacha kamwe,
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni thelathini tu ndio wame'renew' maana ndio waliokabidhiwa kadi mpya.
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  na bado
   
Loading...