mcheki huyu jamaa anaitwa gideon atakusaidia sana atakuchorea ramani nzuri kwa bei nafuu kwa 100,000 amesoma USA 0712 006246
Dau la 50,000/= alikataa?
alinichorea kwa 80,000...
Wakuu Nahitaji ramani ya nyumba au mwenye Architecture mzuri anaechora ramani nzuri mzoefu wa kazi hii, anisaidiem,au pia anisaidie Website yenye mambo ya nyumba na muonekano wake...
Nadhani ilishindikana kwa.elfu 5
Dau lake liligota kwenye 50.
Mi na ten naomba copy tu.
nicheki 0717 022737 uchorewe ramani kwa bei rahisi