Search results

  1. M

    Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

    Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana. Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo...
  2. M

    Hongera Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET

    Niaje niaje. Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki. Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini...
  3. M

    Tuliowahi kukamatwa Coco beach tukila tunda kwenye mapango tujuane hapa na ilikuwaje baada ya kukamatwa?

    Niaje niaje Turudi kwenye mada kuu kuna siku moja Mimi na aliyekuwa demu wangu tulienda zetu Coco kupunga hewa sasa bana sijui shetani kijicho chongo alipita wapi akatuona kuja kucheki Gogo liko wima kama miguu ya ngongoti. Nikasema sasa hapa ndio penyewe kukamua maziwa maana mtoto alikuwa...
  4. M

    Aliniacha mwenyewe sasa hivi yuko busy kuangalia Akaunti yangu ya Instagram

    Niaje niaje. Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila ALINIACHA vibaya Sana na Kwa kunionea yaani nilikaa miezi 3 sina appetite ya kula kitu chochote maana...
  5. M

    Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

    Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo. Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya...
  6. M

    Ananifanyia vituko ila nikitaka kumuacha anatishia kujiua

    Mimi ni kijana wa miaka 30, sijaoa lakini niko kwenye mahusiano na Dada mmoja ni mwaka wa nne sasa. Nina kazi nzuri tu na kipato kizuri na kwakweli najitahidi kumhudumia huyu Dada kwa kila kitu. Yeye anafanya kazi lakini hata siku moja sijawahi kumuulizia kuhusu pesa yake. Hatuishi pamoja, yeye...
  7. M

    Tuliokwama kwenye foleni tujuane asubuhi hii maana ni balaa

    Niaje niaje, yaani ni balaa asubuhii hii kila sehemu ni foleni hakuna pa kupita kila sehemu kuna jam. Wale wenye mafuta ya videbe wana zima gari zao maana shida sasa ukumbwe na shida ya betri sijui utamuazima nani Foleni kila chochoro hakuna njia hakuna pa kupita. Buriani Mhe. Mkapa. Hii yote...
  8. M

    Tuliozaliwa nyumbani tupo? Tujuane basi

    Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani tofautitofauti. Hivi unajuwa kuwa kuna wale mabinti wanaozalia nyumbani? Ndio yaani wanaozaa bila ndoa...
  9. M

    Kwanini mawakala wa mashine za TRA hawatoi risiti wakati wenyewe wana-solve ishu ya risiti?

    Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti? Nashangaa maana tunawapelekea mashine zikizingua wazirekebishe lakini sasa balaa linakuja unaambiwa lipia huduma ukilipa...
  10. M

    Tamaa ya vikubwa (Funzo kwa wenye michepuko)

    Kabla mahusiano yao hayajakolea jamaa akamkalisha chini huyu mdada hawala yake na kumueleza misimamo Wake. Jamaa akamweleza "Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda si ndio hivyo mpenzi wangu? Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto. Nampenda mke wangu ndio maana nilifunga nae...
  11. M

    Hivi hawa wafanyakazi wa makampuni ya simu wanatuchukuliaje wateja wao?

    Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
  12. M

    Kuhusu tukio la Polisi wa India kuwachapa hadharani watu waliokiuka agizo la kutokutoka nje ya nyumba zao

    Ni hivi wakuu, jana kuna mahali nilikuwa nipo kwenye mishe zangu tu za maisha ya kawaida........pale nilipokuwepo jamaa mmoja akanistua hebu cheki kule.....ilikuwapo tv nas ilikuwa inaonesha habari live kutoka india........eti askari wanawachapa watu fimbo hadharani nilishangaa sana....... Hivi...
Back
Top Bottom