Tuliokwama kwenye foleni tujuane asubuhi hii maana ni balaa

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Niaje niaje, yaani ni balaa asubuhii hii kila sehemu ni foleni hakuna pa kupita kila sehemu kuna jam. Wale wenye mafuta ya videbe wana zima gari zao maana shida sasa ukumbwe na shida ya betri sijui utamuazima nani

Foleni kila chochoro hakuna njia hakuna pa kupita. Buriani Mhe. Mkapa. Hii yote ni kwa mapenzi yake muumba, hakika tutakukumbuka kwa mazuri yako

Muwe na siku njema
 
Hivi hamkujua kuwa leo kutakuwa na kimbembe? Mie nimeingia ofisini saa 11 alfajili niliyajua haya mapema sana. Ingawa naishi pande za ushuani ila nilijua leo shughuli ipo
 
Niaje niaje, yaani ni balaa asubuhii hii kira sehemu ni foleni hakuna pa kupita kila sehemu kuna jam. Wale wenye mafuta ya videbe wana zima gari zao maana shida sasa ukumbwe na shida ya betri sijui utamuazima nani

Foleni kila chochoro hakuna njia hakuna pa kupita. Buriani Mhe. Mkapa. Hii yote ni kwa mapenzi yake muumba, hakika tutakukumbuka kwa mazuri yako

Muwe na siku njema
MM nimetoka mapema sana, nimefanikiwa kwa ilo
 
Back
Top Bottom