Kuhusu tukio la Polisi wa India kuwachapa hadharani watu waliokiuka agizo la kutokutoka nje ya nyumba zao

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Ni hivi wakuu, jana kuna mahali nilikuwa nipo kwenye mishe zangu tu za maisha ya kawaida........pale nilipokuwepo jamaa mmoja akanistua hebu cheki kule.....ilikuwapo tv nas ilikuwa inaonesha habari live kutoka india........eti askari wanawachapa watu fimbo hadharani nilishangaa sana.......

Hivi kumbe hadi uko dunia ya pili viboko ni kama kawaida tu.....sasa uku kwetu mbona inakuwa ni balaa sana .......vipi mawazo yako hapo je ni sa hihi kuchapana hadharani wakati kira mtu ana moyo na figo yake......??
 
India cha mtoto boss,cheki hapo kwenye shithole Uganda kinachoendelea.
IMG_6717.JPG
IMG_6719.JPG
IMG_6720.JPG
IMG_6721.JPG
u
IMG_6722.JPG
IMG_6723.JPG
IMG_6724.JPG
IMG_6725.JPG
IMG_6726.JPG
 
Ni hivi wakuu,jana kuna mahali nilikuwa nipo kwenye mishe zangu tu za maisha ya kawaida........pale nilipokuwepo jamaa mmoja akanistua hebu cheki kule.....ilikuwapo tv nas ilikuwa inaonesha habari live kutoka india........eti askari wanawachapa watu fimbo hadharani nilishangaa sana.......hivi kumbe hadi uko dunia ya pili viboko ni kama kawaida tu.....sasa uku kwetu mbona inakuwa ni balaa sana .......vipi mawazo yako hapo je ni sa hihi kuchapana hadharani wakati kira mtu ana moyo na figo yake......??
India na sisi wote ni dunia ya tatu, mambo tunayofanya hayaeleweki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili polisi ndio wajinga nadhani. Hivi polisi huwa hawana ustaarabu wa kumwambia mtu kitu kisichotakiwa kwa ustaarabu?
 
Kuna dalili za upigaji kutoka kwa hao polisi, hii over reation inatisha mashaka.
 
Wale wataalam wanaoombea total lockdown waone enforcement yake ilivyo. Wabongo wengi tunaishi day to day matokeo yake ni hayo kuna watu bado utawaona nje wanatafuta riziki.
Kwao wao Corona si hatari kama njaa!
 
Mzee mi naunga mkono askar asee pipo wary hawaelewi kama wakisha tangaziwa wakae ndani hawataki kukaaa ndanimeans wanataka kusambaza maambukiz yasambae harafu wataanza kulaumu serikali haipambani na ugonjwa

Italy ukikamwatwa nje unashtakiwa kwa kosa sa mauaji Mzee

Subirin lockdown ije bongo muone kama itawezekana
 
Back
Top Bottom