Aliniacha mwenyewe sasa hivi yuko busy kuangalia Akaunti yangu ya Instagram

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Niaje niaje.

Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila ALINIACHA vibaya Sana na Kwa kunionea yaani nilikaa miezi 3 sina appetite ya kula kitu chochote maana alijua kunikomesha kabisa na kibaya zaidi ALINIACHA kwa kumchukua mmoja wa washikaji wa kitaaa. Iliniuma Sana

SASA maisha yalienda Kasi mabonde na milima Mzee nikapambana mpaka kutoa sare cha ajabu siku hizi nikijipost vitu vyangu anaangalia kwa jicho chongo maana insta haataa ukichungilia umedakwa tayari, wale aliojivunia nao wapo tu walimla na hakuna kuoa. Mimi nilisha pata kimanzi changu na ndoa ikapita ile fresh Tu, yeye naona kabaki kuwa mpenzi mtazamaji.

Hivi hii huwa inakaaje umuache MTU makusudi haafu upite kuona kama atatoboa nawasilisha Kwa michango zaidi Kwa wale yaliyo wakuta haafu bado wanafatwa fatwa kinyemela
 
Kisaikolojia mtu yeyote mliye gombana nae anatamani kukuona unafeli kwenye mambo yako, awe ndugu yako, mpenzi au rafiki. Cha kufanya we nikupambana iyo inauma sana akikuona umetoboa.

Kuachwa na demu tafuta pisi kali kuliko yeye na uoe kabisa ukikosa pisi kali kuliko yeye basi tafuta pesa akiona maisha yako ni level zingine inamuuma sana .
 
Ukiona umeachana na mtu na bado una mzungumzia hadi kumfungulia uzi basi ujue huyo mtu anatawala akili yako na wewe huja movie on..

Nb:Fanya unywe chai kwanza
 
Back
Top Bottom