Tetesi: Je, hii ni tozo mpya kwenye akaunti za Benki?

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Habarini wana jamvi, natumaini mko poa sana.

Leo katika mishe zangu ikaingia sms ya tozo, ikiwa na jina la PAYROLL LEDGER FEE na baadaye ikaja na ya VAT. Sasa nikapiga simu kwa bank husika kujua hii shughuli imeanza lini mbona sina experience ya hii shughuli na tulishaambiwa haya mambo hayapo? Akasema ni tozo za serikali maaana nilitoa Mchele bank tarehe za mwanzo na wakakata 9,440 kwa ule Michele niliotoa.

Je, wenzangu huko mmepata aina hii ya jambo ambalo halina taarifa? Au ndio serikali wanakata kibabe tozo zao kama mwanzo?

Naomba kuuliza hili jambo kwa mwenye uelewa.
 
Back
Top Bottom