Hivi hawa wafanyakazi wa makampuni ya simu wanatuchukuliaje wateja wao?

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando lilikuja vizuri ila likawa alitumiki mpaka nikajiuliza shida au labda ni simu yangu, maana nikiangalia salio naliona lakini data sina.

Kupiga CUSTOMER CARE, yaani balaa maana wana customer care mbovu sijawahi kuona; utadhani wana kulaga mavi asubuhi ndio wana kuja kazini. Jitu nimeliuliza vipi uko kwenu kuna shida ya network linabisha balaa na kusema simu yangu ndio itakuwa mbovu wakati nikiangalia salio naliona, yeye anasema kule halioni.

Yaan nilikuwa ndani, nje nakuona miyeyusho mvua, lenyewe likabisha tu sauti yenyewe mbayaaaaaaaaaa kama kakabwa. Waliila ile buku mbili yangu na vocha ilipotea hivo hawakurudisha mamba hawa. Matangazo mengi kumbe majambazi tu.

Siku hizi waliniblock siipati tena ile CUSTOMER CARE yao; hata nikiwa na shida naacha tu au nahamia mtandao mwingine.
 
Hii mitandao ina vibinti vyeupe kichwani yani kanakujibu issue technical kipuuzi sana, mbaya zaidi kanahisi hata simu unayotumia huijui.

Nyie mnaowaajiri najua lengo ni kupunguza gharama kwa kuajiri cheap labor ila wengine ni ta.ka.taka tu wanapoteza muda wetu tukiwapigia.
 
Mmmhhh, huu mzigo sio wa buku 10.

👆Nampenda yule sister anavyojishembendua - Uwe na Siku Njema
 
Ukirudishiwa salio au kifurushi usiache kutoa taarifa hapa pia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hao watakuwa ni airtel yaani intanet spidi yao ni ya mwendo wa kobe pia wana mtindo bando likikaribia kuisha muda wake inanet inasumbua pia linaisha before muda husika meseji una ipata baada ya masaa mawili.sema kwa bongo kila mtandao ni shida kwelikweli sijui TCRA hawapati malalamiko toka kwa wananchi au ndio wazee wa kupuuza.
 
Back
Top Bottom