Israel yathibitisha kuwa Taifa kubwa kwa Intelijensia baada ya kumuua Mkuu wa Nyuklia wa Iran

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Niaje niaje,

Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN

Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo.

Ameuawa baada ya kufanyiwa ambushi na Jeshi la Israel ndani ya nchi yake. Yaani alikuwa ndani ya gari yake kwenye matembezi yake akapigwa bomu kila kitu kika ishia hapo na jamaa waalikuwa na project kubwa bado inaendelea

Kweli Israel mbabe na Marekani kajua hata ajaingilia na amekaa kimya kama ajui kilicho tokea karibuni wadau tuongee na kuzungumzia hii Issue juu ya ubabe na INTEREJENSIA ya Israel Mashariki ya Kati

Nawasilisha
 
I saw mahali wamekiri. Too bad nimesahau source. Na walikua wanajigamba kbs
An Israeli cabinet minister said he had "no clue" who was behind the ambush by gunmen on Mr Fakhrizadeh's car.



Source: BBC NEWS
 
Majasusi wa israel walishindwa kutambua wanajeshi wao walio tekwa na hezbullah waliwekwa wapi mpaka ikabidi itumie nguvu za kijeshi na bado ikapigwa
 
Back
Top Bottom