Tamaa ya vikubwa (Funzo kwa wenye michepuko)

maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,311
2,741
Kabla mahusiano yao hayajakolea jamaa akamkalisha chini huyu mdada hawala yake na kumueleza misimamo Wake.
Jamaa akamweleza "Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake nimekupenda si ndio hivyo mpenzi wangu? Nilikwambia tangu awali nina mke na watoto. Nampenda mke wangu ndio maana nilifunga nae ndoa. Sitamani hata siku moja aje kuumia moyo wake eti kwasababu yako. Sina malengo yoyote na wewe hususani yakuoana kwa ndoa maana tayari niko na ndoa nakuheshimu pia kwa nafasi yako lakini kuwa na nidhamu kwenye ndoa yangu kukupenda wewe haina maana kwamba mke wangu simpendi no,ni udhaifu wa wanaume tulionao. Sitaki uwasiliane na mke wangu hata mara moja. Sitaki ajue nina hawara nje ya ndoa , kwasababu mke wangu anasali anamuomba Mungu Sana . Hata mahusiano yetu najua ataonyeshwa kwenye ndoto tu siku moja ! Ni afadhari akawa ana hisia tu lakini sio ajue kwamba nipo na wewe"

Farida akajibu " Ina maana huna malengo kabisa na Mimi. Kwahiyo una mpango wa kunichezea tu?" Jamaa akamjibu "Kwani ulitaka nini zaidi kutoka kwangu?" Farida akamjibu "Nataka unizalie watoto namimi nataka ndoa hata mke wa pili nipo tayari siwezi kukuacha wewe my dear sweet"

Jamaa "Haa eti nini? kama ni hivyo tuishie hapa hapa , dini yetu hairuhusu kawatafute wakina Yusufu Salumu sihitaji stress ndio maana nimekwambia mapema misimamo yangu kama utaiweza, huiwezi tuishie hapa." "Haya nimekuelewa nitafuata huu utaratibu kwasababu nakupenda" alijibu farida "Poa una amani lakini?" aliuliza jamaa "Yes usijari" Farida alijibu

Jamaa "Naomba ninapokuwa nyumbani usinitext wala nisiione call yako ni mpaka iwe ninapokuwa kazini tu." Farida "Sawa mpenzi wangu, sasa si uweke password kama hutaki mkeo asione simu yako?" Jamaa "Hapana sitaki kuonekana kutokuaminiwa na wife na usichati na Mimi kwa msg za kawaida au Whatsap wala messenger, tutumiane email tu." Farida akajibu "sawa"

Uhusiano wao uliendelea lakini Farida hakuwahi kuwa na amani kwa mapenzi yenye mashart kama yale ,ilikuwa inamuuma akikumbuka maneno ya jamaa na vile anavyo mheshimu mkewe na si yeye, alivumilia tu kwakuwa jamaa ana hela,chochote alichotaka alipewa.

Alitumia kila mbinu ili kumvutia jamaa, alijaribu kumuuliza kitu anachokipenda huyo buana ili amfanyie mfano chakula anachopenda, lakini jamaa hakuwa muwazi Sana kwake. Farida Alitamani sana kumjua huyo mke wa jamaa lakini hakuweza. Alijaribu kutafuta hakufanikiwa, ila mara kadhaa alimskia jamaa akiongea nae kwenye simu anamuita Magdalena au mama Francisco.

Siku moja akiwa saluni kwake aliyofunguliwa na jamaa akiwa na msichana wake wa kazi. Akaanza kupitia Facebook akaingia kwenye profile ya jamaa aone marafiki zake. Akasearch jina la Magdalene akalipata, akafungua profile yake akakuta ni kweli ni mkewe jamaa, kwanza alimuweka mumewe Picha yake ya wasifu. Akamuomba urafiki, muda huo huo Magdalena akaacept, akamshukuru kwa kumkubalia urafiki magdalena akamwambia "karibu my" Akajibu "asante"

Wakachat sana siku ile huyu Farida akajisemesha nimemmaliza tayari. Usiku ule hakulala usingizi akimtafakari yule mwanamke amfanyie nini maana ndio kikwazo kikubwa chake. Kulipokucha mchana akiwa nyumbani kwake akamtext msichana wake "nimeongea na huyu mshamba nimemkaribisha saluni nimemwambia tunampa ofa aje. Sasa naomba akija hapo wewe endelea kumfumua hizo nywere zake Mimi nitamnunulia soda nitamuwekea na pilipili atajuta kunifahamu" Dada wa kazi "pilipili?" Farida "Wewe nawe baki na hilo ilo ,namaanisha sumu!" alijibu "Anhaà hapo sawa, kwahiyo nisimuwahishe niende nae taratibu?" Farida "no no wewe Fanya kawaida Mimi dakika chache ntakuwa hapo."

Magdalena dakika 20 akawa amefika na gari yake, Akamjulisha Farida akampa maelekezo msichana wake akawa amemwona akampokea, wakaanza kazi. Dakika 10 mbele Farida akawa amefika, story zikaendelea Magdalene hamjui Farida, Farida anamjua Magdalena.

Baada ya kumsuka nywere akiwa karibu na kumaliza Farida akamwambia "ngoja nikununulie na soda japo ukanywe hata nyumbani, soda gani vile?" "Yoyote nichukulie my dear nashukuru sana" alimjibu Farida akajifanya kama anaenda dukani lkn alikuwa kazunguka nyuma ya saluni yake akatoa chupa ya take away kwenye pochi yake, na akapita dukani akaagiza zingine mbili za kwao na binti yake.

Akampa Magdalena soda aina ya pepsi, akashukuru akawasha gari akaondoka zake, akionyesha kufurahishwa na Huduma zao na upendo au ukarimu wao asijue mtego wa muwindaji. Huku nyuma walianza kupongezana wakiamini zoezi lao limefanikiwa walijua kwa vyovyote vile angekunywa njiani na kufa hapo hapo

Na iwapo angekunywa tu asingefika mbali kutokana na ujazo wa pakti za sumu aliyomimina kwenye chupa. "sikutaka kumpa mapema halafu afie hapa sitaki mizoga ya watu hapa akafie mbele huko pumbavu kabisa" alijisemesha Farida.

Kumbe Magdalena ile soda hakunywa kwenye gari. Akawa amefika nayo mpaka nyumbani kwake na kwasababu soda ilikuwa imekuwa ya akaingia nayo ndani akaiweka kwenye friji moto na zingine. Ikawa imelala kwenye friji.

Mchana wa kesho yake jamaa akarudi nyumbani kula chakula Alipokuwa anaondoka kurudi ofisini, akamwomba mkewe ampe soda, na soda yake kubwa ni pepsi akampa ile ya kina Farida pasipo kujua .

Patamu hapo.
Akiwa anaondoka akaona kuna email imeingia , kucheki anakutana na text ya Farida "uko wapi my?" "Natoka nyumbani naenda ofisini" Akajibu "OK basi nipitie saluni Nina shida kidogo."

Anataka amuulize maendeleo ya familia yake ,ana wasiwasi je soda ilinyweka?au ile sio sumu kadanganywa? Jamaa alipofika Farida akaingia kwenye gari akamkiss jamaa. Wakaondoka wote kuelekea ofisini kwa jamaa. Farida akalalamika njaa ikabidi ampitishe mahali akala akamsubiri, walipokuwa wakiondoka akiwa kwenye gari akaona soda akamwomba anywe, jamaa bila ajizi yoyote akampa kumbe ni ile yenye sumu pilipili! Na kwakuwa alikuwa kakaukiwa akaanza nayo hapo hapo! Kidi kidi kidi akakata kama nusu hivi

Huku wakipiga story. Dakika tano peke zilikuwa ni nyingi akaanza kuskia maumivu makali hamna mfano, moja kwa moja akajua ni ile soda. Ha! Akajishika tumbo akatoa macho akamuuliza "hii umeitoa wapi? jamaa akajibu" nyumbani kwenye friji langu" "Ooooooh my god mkeo ameniua jamani! Mkeo ameniua niwahishe hospital haraka plz!" "Mke wangu amekuua? kivipi hebu niambie! Dah! Kweli mkeo anasali" Farida anaongea huku akilia kwa uchungu mkubwa akatamka neno la mwisho akasema "Nakufa kwa upumbavu wangu mwenyewe, niwahishe hospital labda nitapona mimi!"

Jamaa dakika 15 akawa amefanikiwa kufika hospital akaingia nae ,jopo la madaktari wakiwa wanamhangaikia yeye akawa amewasha gari akatoroka kukwepa kesi huku nyuma Farida ikawa ndio kwa heri bye bye! Amekufa. Kuchunguzwa ikaonekana amekufa kwa kula chakula au kinywaji chenye sumu.

Kumtafuta aliyemleta hospital wakashangaa hawamwoni na bahati nzuri simu ya marehemu akawa ameondoka nayo.
Taarifa ikafika police. Na ilipotangazwa iwapo angetokea ndugu wa marehemu ,wa kwanza akawa ni binti wa saluni.
Police ilibidi waanze nae yeye kuchunguza simu yake, Bahati nzuri au mbaya kwake, zile Meseji walizochati na dada hakuzifuta.

Binti akawa ni mtuhumiwa namba moja ilionekana kuna MTU walimpa sumu na marehemu lakini ninani? na mbona Farida ndiyo amekufa tena?wakaenda kuirenew ile line ya marehemu. Upelelezi ulipokuwa ukiendelea tayari yule binti akabanwa mpaka akakiri kuhusu mpango waliousuka na marehemu dhidi ya mke wa jamaa aitwaye japhert. Walipomtafuta akaja japhert pamoja na mkewe.

Magdalena akahojiwa kama anamfahamu Farida akaeleza vile walivyojuana kupitia Facebook kama wiki tatu tu.
Akaeleza vile walivyompa na ofa ya kwenda kusuka na "huyu binti ndiye aliyenisuka na wakaninunulia soda" lakini ile soda sikuinywa nikaenda nayo nyumbani akasimulia kama hapo juu. Mume akawa anashangaa anaona ni kama video move baadae mahakama ikamtia hatiani yule binti.

Walipofika nyumbani Magdalena ilibidi ambane mumewe "Vipi Mume wangu marehemu kumbe alikuwa hawara wako?"
Ilibidi mumewe awe muwazi tu kwake, akamweleza Kisa kizima huku akilia kwa uchungu mkubwa. Ni kweli Mimi ndio nilitaka kukuua kwa upumbavu wangu,naomba unisamehe,sijui kwanini wanaume haturidhiki na hatutosheki?hakuna chochote ninachokikosa kwako lakini tamaa tu! Usimwache Mungu unayemtumikia mke wangu,ningefanyaje Mimi kukupoteza wewe!? ningefanyaje na watoto hawa? Mama akamfuata mkewe akamkumbatia miguu huku akilia
Jamaa akawa ameishiwa maneno ya kuongea zaidi ya "nisamehe" wakaangua kilio cha kumshukuru Mungu.

Mwishoni mama Francisco akiwa amemkumbatia mmewe, anasema mwili wote ulikuwa kama unachemka, akasema nyamaza nimshukuru Mungu:
"EEH MWENYEZI MUNGU, BABA WA REHEMA, MUNGU UTULINDAYE, BIBLIA IMESEMA WEWE USIPOULINDA MJI WAULINDAO WAKESHA BURE. USIPOILINDA NDOA, HATUWEZI KUFANYA CHOCHOTE. ASANTE KWA UAMINIFU WAKO KWANGU. ULINIAHIDI IWAPO NIGEKUWA MWAMINIFU KWAKO,USINGENIACHA WALA KUNIPUNGUKIA HATA SEKUNDE TANO! NA KWAMBA MAADUI ZANGU WANGEKUWA ADUI ZAKO. NA UMESHATIKIZA AHADI YAKO KWANGU. ASANTE KWA KUHAKIKISHA NAZIDI KUWA SALAMA. UMETULINDA MIMI NA MUME WANGU NA WATOTO. ILE SODA PAMOJA NA KWAMBA IMEINGIA MPAKA NDANI KWANGU, LAKINI HAKUNA ALIYEKUNYWA NAJUA NI UWEZA WAKO LAKINI HATA MMOJA WETU ANGEKUNYWA ASINGEDHURIKA MAANA UMESEMA TUKILA VYA KUFISHA HAVITATUDHURU.
TULINDE TUTUNZE ZAIDI KWA UTUKUFU WA JINA LAKO AMENI.

Nimeikuta sehemu
 
Naomba mtu anipe summary
Kuna Jamaa kaendekeza tamaa ya papuchi, katafuta hawala lakini akampa hawala ukweli juu ya familia (mke) wake na masharti kibao, Na hawala nae akaleta tamaa akataka ale vizuri pekee yake, akaandaa mpango wa kumjua mke wa jamaa na kumuwekea sumu kwenye soda unfortunately akaja kufa kwa kunywa soda ileile aliyoweka sumu, na hadithi ikaishia hapo.
 
Aisee, kweli mungu haachi wabaya wapumue
 
Walaka ni mrefu kushinda hata hotuba ya leo ya raisi.
Ukifichiwa papuchi hata kwenye zivu kubwa kama msitu wa mwabwe pande unaitafuta mpaka uipate hapo.......vimaandishi vichache tu ooohhh.......keeeee .......sijui nini.......sasa hapa raisi kajaje...?? Vibwengo wengi humu jamani
 
Nipitie kushoto usinilazimishe niandike unachotaka ww bhana simu sio yako bundle sio lako bado unipangie na chakuandika au kuilazimisha kusoma 😎
 
Nimeipata hii story
 
Hiyo itakua bongo movie steering shishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom