Search results

  1. lembu

    Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  2. lembu

    Twitter wafuta akaunti ya Rais Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump amefungiwa kabisa akaunti yake ya Twitter kwasababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi", kampuni hiyo imesema. Kampuni ya Twitter imesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kufuatiliwa kwa karibu kwa ujumbe wa Twitter wa akaunti ya @realDonaldTrump account". Baadhi ya...
  3. lembu

    Uchaguzi 2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  4. lembu

    Liverpool inaweza Ikakosa ubingwa endapo coronavirus vikiingia Uingereza

    Liverpool ambayo imebakiza pointi 12 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa. Hakuna sheria inayoruhusu bingwa kutawazwa kabla hajamaliza mechi zote 38. Kwa mukadha huu, mashabiki wa...
  5. lembu

    DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019

    Kwa Wasomaji wa Kiswahili DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019 Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni: Jina la Kifurushi Idadi ya Chaneli Bei ya Zamani Bei Mpya Bomba 45+ 19,000 19,000 Family 57+ 39,000 29,000 Compact 90+ 69,000 44,000 Compact...
  6. lembu

    Lionel Messi Hana Sifa za Uongozi kama za Cristiano Ronaldo

    Tumeshuhudia Lionel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018 tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya Barcelona Pamoja na kuwa na mastaa wengi, Argentina bado imeendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu kwa...
  7. lembu

    Sadio Mane: My parents told me pursuing football was a waste of time

    Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch. Mane, 26yrs old, has developed...
  8. lembu

    Mo' Salah, CR7 Lucas Mo make FIFA shortlist for 2018 Ballon d'Or

    The following is the FIFA shortlist for 2018 Ballon d'Or Award Mohamed Salah Luka Modric Cristiano Ronaldo. 1. Mohamed Salah Netted 44 goals in all competitions for Liverpool last season, Helped Jurgen Klopp's side reach the Champions League final. 2. Lucas Modric Modric helped Real Madrid to...
  9. lembu

    Maneno ya Hekima/Wahenga

    Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
  10. lembu

    If a woman has sex with a man, his DNA lives in her forever

    -If a woman have sex with a man, his DNA lives in her forever. A research by university of Seattle USA has proven that. There is now a greater understanding of why God asks us not to have sex before we get married. This research proves that any man, that a woman has sex with leaves a part of...
  11. lembu

    Baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi

    Nimekutana na baadhi ya wadau wa hotel kubwa kubwa hapa Arusha pamoja na Tour operators wanasema utalii umeongezeka kwa kasi katika msimu huu ulioanza mwezi wa sita 2018. Na sababu kubwa ni Serikali ya Magufuli imeitangaza nchi sana. Agents wengi wa kimataifa sasa wameongeza kasi ya kutafuta...
  12. lembu

    Utapeli wa kwenye simu, tujifunze wote

    Tuusome na kama na wewe ulishatumiwa au kama bado jiandae na ujifunze, usikurupuke kutuma pesa _______________________________________________________________________ Habari ya kazi, ile hela inabidi uitume kwenye namba hii 0753515775 jina litatoka HADIJA MELIMELI,usitume kwenye namba yangu...
  13. lembu

    Clarification on Online Content Services Licensing issued by TCRA

    Dear JF As we all are aware that the Government of United Republic of Tanzania through The Ministry of Information, Culture, Arts and Sports in March 2018 signed a regulation know as THE ELECTRONIC AND POSTAL COMMUNICATIONS (ONLINE CONTENT) REGULATIONS, 2018 which abbreviated as EPOCA to...
  14. lembu

    Timu 10 maarufu kwenye social media kutoka EPL, Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na Serie A

    #1. Manchester United Social Media: 75 million followers (68m facebook, 7m twitter) Tv Viewership: 52 per cent of the Premier League’s entire global TV audiance (premier league averages 3.5 to 4 billion global views a season) Shirt sales: averaged 1.2 t0 1.6 million a year (last 5 years)...
  15. lembu

    Kwa wale mashabiki wa Football, Timu Yako Inamashabiki Wangapi?

    Dunia ina wastani ya washabiki wa mpira wa miguu 1.6 Bilioni kwa takwimu za mwaka 2013. Timu hizi za EPL zimegawana hao mashabiki kama iifuatavyo: EPL Footbal Club Team Fan-base Percentage Source Manchester United 685M 43% Telegraph (2012)...
  16. lembu

    Mifumo ya Biashara Faida na Hasara wa Kila Mfumo

    Utangulizi Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia biashara. Hasa unatakiwa kujua zaidi mambo ya kisheria katika mfumo utakaoamua kuutumia kuendesha...
  17. lembu

    World 10 Best Paid Football Managers

    Josep "Pep" Guardiola Sala (#Pep)- #ManchesterCity José Mário dos Santos Mourinho Félix,(#JoseMourinho) - #Manu Carlo Ancelotti OSI - only manager to have won the UEFA Champions League three times and reached four finals Arsène Wenger, OBE (#Wenger)- #Arsenal Zinedine Yazid Zidane "Zizou" -...
  18. lembu

    Hii Mechi ya Barcelona na Real Madrid 11:1: Laliga au Mazoezi tu

    Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa #Barcelona ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au #Laliga? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani #RealMadrid wanacheza na #Espanyol maana waliwahi kuwafunga 16:0. #Barcelona...
  19. lembu

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Kuna taarifa kuwa Yona F. Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018. Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro. Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe. Natoa pole kwa...
  20. lembu

    Iran Kimenuka, Maandamano ya Kuipinga Serikali Kuenea Nchi Nzima

    Leo ni siku ya nne tangu maandamano ya kuipinga serikali ya Iran inayoongozwa na Hassan Rouhani ianze. Mitandao ya kijamii maarufu kule kama Instagram na Telegram zimefungwa ili kuzima upashanaji wa habari za maandamano. Kweli wahenga hawakukosea waliposema “Mwenzako akinyolewa wewe tia maji”...
Back
Top Bottom