Uchaguzi 2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,807
22,259
Mathayo 11:2-26
Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona kuwa:
 • Vipofu wanaona,
 • viwete wanatembea,
 • wenye ukoma wanatakaswa,
 • viziwi wanasikia,
 • wafu wanafufuliwa na
 • maskini wanahubiriwa Habari Njema.
NB: Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami.

Wapinzani nao wakiwa gerezani wakawatuma wakereketwa wao kwenda kumuuliza Magufuli kuwa, ndi yeye yule Mesia wa Tanzania tuliekuwa tunamsubiri au tumngoje mwingine?

Magufuli akawajibu, Waambieni wapinzani kuwa:
 • Mabarabara yamejengwa na yanajengwa
 • Madaraja na vivuko vimejengwa na vinajengwa
 • Viwanda vinajengwa
 • Hospitali zinajengwa
 • Uchumi unajengwa
 • Reli ya kisasa inajengwa
 • Bwawa la umeme la Julius Nyerere Hydropower Dam huko Stigler Gorge
 • Uthibiti wa Mapato ya Nchi
 • Vita dhidi ya rushwa
 • Wafanyakazi hewa na mishahara hewa
 • Wanafunzi hewa
 • Shirika la ndewge kufufuliwa
 • Shirika la reli kufufuliwa
 • Wizi Katika sekta ya madini kudhibitiwa
 • Mikataba mibovu kama ile ya bandari ya Bagamoyo kufutiliwa mbali
 • Safari hewa za nje kufutwa
 • Semina hewa kufutwa
 • Viongozi mandazi wabadhirifu, wezi na wavivu kutumbuliwa
 • Sekta ya utalii kuboreshwa na kufanywa kuwa rahisi kufanya utalii nchini
 • Serikili kuhamia Dodoma
 • Urasimishaji wa viwanja nchi nzima unaendelea kwa ufanisi mkubwa
 • Kaya maskini zimewezeshwa na zinaendelea kuwezeshwa kupitia bima kwa wazee, maji kwa kaya maskini, TASAF kwa kaya maskini, Mikopo isiyo na riba kwa walemavu, Akina mama na vijana nchi nzima
 • Elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha nne
 • Mikopo nafuu kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu
 • Ada rahisi kabisa kwa wanafunzi wa kidato cha sita na vyuo vya ufundi
 • Miradi mikubwa ya maji nchi nzima mijini na vijijini, mfano ni mradi wa Bilioni 520 Arusha mjini
 • Kuwezesha utawala bora, utawala wenye kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa haraka
NB: Heri yake yeye asiye na mashaka na seikali ya awamu hii ya tano
 
Una
Na
Watu wametekwa
Watu wamejeruhiwa
Watu wameporwa hela zao kwa nguvu
Watu wamepewa kesi feki za uhujumu uchumi
Watu wamepigwa marisasi
Watu wameuawa na kuwekwa kwenye viroba

Kweli huyu ni MESSIER siyo Messiah
Ushahidi na uliyoyaandika? Acha wewe
 
Wakati napitia uzi wako ghafla nikaingia kwenye maono nikamuona mtu kavaa suruali imejaa viraka makalioni na viatu visigino vimetitia kwa ajili ya hali ngumu ya maisha akiisujudia sanamu fulani na kuhubiri kwa habari ya awamu ya tano, nami nikastaajabu ajabu kuu.
 
Nguvu yote hii ya nn? Kwa mambo yote yaliyofanyika ilitakiwa hata kampeni asifanye.
 
Na
Watu wametekwa
Watu wamejeruhiwa
Watu wameporwa hela zao kwa nguvu
Watu wamepewa kesi feki za uhujumu uchumi
Watu wamepigwa marisasi
Watu wameuawa na kuwekwa kwenye viroba

Kweli huyu ni MESSIER siyo Messiah
Wakulima wanakopwa

Mashangazi wanatishiwa
 
Mpe kura wewe na familia yako lakini Mimi
IMG_20200818_165009.jpg
IMG_20200822_132046.jpg
IMG_20200822_132037.jpg
 
Mathayo 11:2-26
Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona kuwa:
 • Vipofu wanaona,
 • viwete wanatembea,
 • wenye ukoma wanatakaswa,
 • viziwi wanasikia,
 • wafu wanafufuliwa na
 • maskini wanahubiriwa Habari Njema.
NB: Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami.

Wapinzani nao wakiwa gerezani wakawatuma wakereketwa wao kwenda kumuuliza Magufuli kuwa, ndi yeye yule Mesia wa Tanzania tuliekuwa tunamsubiri au tumngoje mwingine?

Magufuli akawajibu, Waambieni wapinzani kuwa:
 • Mabarabara yamejengwa na yanajengwa
 • Madaraja na vivuko vimejengwa na vinajengwa
 • Viwanda vinajengwa
 • Hospitali zinajengwa
 • Uchumi unajengwa
 • Reli ya kisasa inajengwa
 • Bwawa la umemela Julius Nyerere Hydropower Dam huko Stigler Gorge
 • Uthibiti wa Mapato ya Nchi
 • Vita dhidi ya rushwa
 • Wafanyakazi hew ana mishahara hewa
 • Wanafunzi hewa
 • Shirika la ndewge kufufuliwa
 • Shirika la reli kufufuliwa
 • Wizi Katika sekta ya madini kudhibitiwa
 • Mikataba mibovu kama ile ya bandari ya Bagamoyo kufutiliwa mbali
 • Safari hewa za nje kufutwa
 • Semina hewa kufutwa
 • Viongozi mandazi wabadhirifu, wezi na wavivu kutumbuliwa
 • Sekta ya utalii kuboreshwa na kufanywa kuwa rahisi kufanya utalii nchini
 • Serikili kuhamia Dodoma
 • Urasimishaji wa viwanja nchi nzima unaendelea kwa ufanisi mkubwa
 • Kaya maskini zimewezeshwa na zinaendelea kuwezeshwa kupitia bima kwa wazee, maji kwa kaya maskini, TASAF kwa kaya maskini, Mikopoi isiyo na riba kwa walemavu, Akina mama na vinaja nchi nzima
 • Elimu bure kuanzia awali hadi kidato cha nne
 • Mikopo nafuu kwa wanafunzi wa vyuo vikuuu
 • Ada rahisi kabisa kwa wanafunzi wa kidato cha sit ana vyuo vya ufundi
 • Miradi mikubwa ya maji nchi nzima mijini na vijijini, mfano ni mradi wa Bilioni 520 Arusha mjini
 • Kuwezesha utawala bora, utawala wenye kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa haraka
Asante sana mkuu kwa mchanganuo huo, ila vbrk watakupuuza
 
Back
Top Bottom