TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,468
21,904
Kuna taarifa kuwa Yona F. Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018.

DF91716A-BB5C-4C79-AA89-D1EBCFB9F9EB.jpeg


Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.

Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu

Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro
 
Back
Top Bottom