Maneno ya Hekima/Wahenga

Maneno ya Hekima/Wahenga

lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
19,373
Reaction score
25,474
Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
 
"Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa mara nyingi..."
-WinstonChurchil
 
"Tofauti kati ya akili na ujinga ni kuwa, akili ina kikomo, ujinga hauna kikomo."
-Albert_Einstein
 
"Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo."
-Harry_Truman
 
Msingi mkuu wa mahusiano ni mawasiliano ya kumsikiliza na kumuelewa kwanza mwenzako kabla ya wewe kueleweka
-Lemburis Kivuyo
 
Kuna bidhaa moja tu ukilipia dukani unapata hapohapo, "ujinga" Lakini hekima mpaka iagizwe kutoka mbali.
-Lemburis Kivuyo
 
Ukichoka kutunza SIRI, kubali kufumaniwa yaishe! By me.
 
Back
Top Bottom