Liverpool inaweza Ikakosa ubingwa endapo coronavirus vikiingia Uingereza

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,468
21,903
Liverpool ambayo imebakiza pointi 12 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa.

Hakuna sheria inayoruhusu bingwa kutawazwa kabla hajamaliza mechi zote 38. Kwa mukadha huu, mashabiki wa Liverpool wanatakiwa waiombee Uingereza isivamiwe na hao virusi walioitikisa Dunia mpaka sasa Ramani ya Dunia ikionyesha Jinsi Virusi vya Corona vilivyosambaa.

UPDATES
29 Feb 2020:
  • Tayari mechi tano ikiwemo ile ya Juventus na Intermilan zimeahirishwa kule Italy kwa sababu ya Korona ili kuendana na sera ya nchi ya kupunguza mikutano ya kuingiliana kupeana mikono nk ili kupunguza kuenea kwa hivyo virusi
  • Uswiss nao wameahirisha mechi nyingi kwa kusudi hilo hilo
  • Nchini Uingereza mazungumzo yameanza kati ya wadau wa ligi na serikali ili kujua nini cha kufanya kama maambukizi yakiongezeka

1582928417856.png
0_GettyImages-1203366674.jpg


Entire football season 'could be declared null and void': Liverpool could miss out on Premier League title and dozens of teams miss promotion or relegation if the Government orders sports events to be cancelled to combat spread of coronavirus
  • Liverpool could 'miss out on the Premier League title' if matches are cancelled
  • There is a growing fear sporting events could be called off due to coronavirus
  • The deadly virus is spreading and other countries are postponing their matches
  • If Premier League cancelled games to combat spreading, the title could be off
More than 80,000 people in close to 50 countries have been infected with the virus so far - with 2,800 confirmed to have died.

Switzerland's government made the decision on Friday to cancel all events set to involve 1,000 people or more in their efforts to tackle the disease, with all football fixtures called off this weekend.

If the Premier League were to follow suit following mirroring advice from the UK government, Liverpool could miss out.

There are 11 matches remaining in the Premier League season with Liverpool cruising to their first top-flight title in 30 years.

But the virus is spreading quickly across Europe and it has increased fears that the UK government could 'opt to cancel sporting events for two months'.

In the event of a suspension or cancellation, it is reported that 'crisis talks' are likely to be held to determine if the previous 27 rounds of matches would be available to stand.

UK coronavirus cases has risen to 19 and there are growing fears large-scale events will need to be postponed to prevent a rise in cases.
 
Italy tumeshaanza kuona athari. Match ya Juve na Inter itapigwa bila mashabiki.
Liverpool ambayo imebakiza pointi 22 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa.
Hakuna sheria inayoruhusu bingwa kutawazwa kabla hajamaliza mechi zote 38. Kwa mukadha huu, mashabiki wa Liverpool wanatakiwa waiombee Uingereza isivamiwe na hao virusi walioitikisa Dunia mpaka sasa
Ramani ya Dunia ikionyesha Jinsi Virusi vya Corona vilivyosambaa

View attachment 1372090

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom