Hii Mechi ya Barcelona na Real Madrid 11:1: Laliga au Mazoezi tu

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,444
21,893
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa [HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG]? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.

[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani

Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003

Angalia pia Real Madrid vs Espanyol
 
Una miaka mingapi
Umeanza kutumia mitandao lini

Umefika mjini miaka ipi

Kwanza jibu haya maswali kisha swali lako utajibiwa
 
Nadhani hata wiki hujafikisha toka upate hio smartphone

Samahani kwani upo kijiji gani ww
 
Huu ungekuwa mtihani matokeo mnajua mwalimu angewapa ngapi!
 
Dogo upo sawa au. Yaani mwaka jana Barca kapigwa ngapi? Jifunze zaidi matumiz ya mitandao
 
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa [HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG]? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.

[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani

Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003

Angalia pia Real Madrid vs Espanyol

Labda hiyo ni 'game' mnayocheza nyie vijana siku hizi kwenye 'kompyuta'
 
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa [HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG]? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.

[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani

Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003

Angalia pia Real Madrid vs Espanyol

Ha ha ha ha ha ha haaaaaah, kwenye mechi ya mazoezi ya la liga pale bernabeu madrid alifungwa 3 bila na barca tunasubiri mazoezi mengine camp nou, hizo video unaona ni video games maana hata inaonekana huwezi kutofautisha na mpira wa kweli
 
Back
Top Bottom