Search results

  1. Mtangoo

    Mambo ambayo yawezekana huyajui kuhusu uanzishwaji wa Facebook

    Wengi tumezoea kuwachukulia hawa Jamaa wa Silcon valley kila wanachokisema ndio Uhalisia. Kumbe kuna mengi hatuyajui. Unakuta mtu anaimba tu "I wanna be the next Zuck" lakini je tunajua ya nyuma ya pazia. Artice hii ndefu inaelezea mengi ambayo wengi yawezekana hatuyajui kuhusu Zuckerberg na...
  2. Mtangoo

    The Best Startup Cities In Africa

    Commentary: Pamoja na kuwa na potential kubwa, Dar es Salaam haipo. Kuna mahali tunatakiwa kukaa na kurekebisha kama wajasi na kama nchi. Ukiangalia miji iliyopo kuna kitu kwa Bongoland yetu hakijakaa sawa ==============• Africa is an often underestimated and overlooked region when it comes to...
  3. Mtangoo

    Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

    Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021? 3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
  4. Mtangoo

    Senior Web Developer

    Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Training IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety of business problems. The Role As Web Developer, you will build and ship our mobile products to our...
  5. Mtangoo

    Mobile Engineer

    Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Traiing IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety of business problems. The Role As Mobile Engineer, you will build and ship our mobile products to our...
  6. Mtangoo

    Business Development Representative

    Hosanna Higher Technologies creates Software Solutions for our corporate clients, Training IT/Software development departments for corporate and vendor variety of SaaS solutions to solve variety of business problems. It's going to take a big effort to enlighten and introduce business leaders...
  7. Mtangoo

    Project Ni Muhimu Ili kupata kazi kwenye Software Industry

    Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha! Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
  8. Mtangoo

    Ni Kweli kanuni zilizolazimu kujisajili kwa ajili ya kumiliki Youtube channel zimefutwa?

    Leo nimesikia mahali kuwa serikali imekwisha zifuta hizi kanuni. Nimejaribu kujua ukweli wake sijaupata. Nimejaribu kutafuta Soft copy ya gazeti la serikali angalau nione kama kuna tangazo la kuzifuta/ kuzibadili kanuni hizi sijaweza kulipata zaidi ya yale ya 2012. Naomba kama kuna mwenye...
  9. Mtangoo

    Kwako Unayetafuta Kazi Zingatia Haya!

    Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona...
  10. Mtangoo

    SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

    Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako. Iwe ni...
  11. Mtangoo

    The Beem Developer Challenge

    Leo nimepokea Ujumbe wa hii challenge. Binafsi sitapata nafasi ya kushiriki, nikaona ni vyema niwashirikishe wengine watakaokuwa na muda na wangependa kushiri. Naona kuna zawadi ya mpaka 3.5mil TZS. Sio kubwa lakini kwa mwenye muda na Passion fedha hii inatosha hata kununua vitu vichache...
  12. Mtangoo

    Tumejipangaje kukorofishana na makampuni makubwa?

    Habari wana JF, Sio mwandishi sana wa mada jukwaa hili ila nimoeona ni jambo la msingi sana na linahitaji mjadala mpana wa kitaifa. Ni matarajio yangu post hii ifungue mijadala Bungeni na Serikalini na matokeo yake mtaani. Mada yenyewe ni kama ilivyoandikwa, tumejipanga vipi kukorofishana na...
  13. Mtangoo

    Ulipataje wateja wako 100 wa kwanza wa Biashara yako?

    Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza? Changamoto gani ulikutana nazo? Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya. Mimi kwa sasa nabaki...
  14. Mtangoo

    AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Habari na Heri ya Mwaka Mpya 2021! Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. Mara ya kwanza na ilikuwa ya mwisho kwa mwaka 2020 ilikuwa ni mwezi Septembe. Tafadhali...
  15. Mtangoo

    September AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
  16. Mtangoo

    Is it true that Atheists cannot find evidence for God?

    So It have been atheists' mantra that there is no evidence for God. They will try to press for evidence and then make rabbit trails that goes no where when presented with evidence. So ultimate question is: is evidence the real problem atheists have to believe in God? I have found the answer to...
  17. Mtangoo

    Wakati wa Kuanzisha Jukwaa la Wahandisi wa Program umewadia

    Nilishawahi kuleta hili huko nyuma likapotezewa, so I will try for the last time. Hili jukwaa halitufai tena. Na maadam limeonekana kuwafaa wanaotafuta msaada wa gadgets (Jukwaa lao actually), ni muda wa kuanzisha Jukwaa jipya la Wahandisi Wasimba. I hope this last call haitakuwa kilio cha samaki.
  18. Mtangoo

    wxWidgets 3.1.1 Released

    After fixing a few more bugs since the release candidate, we've just released the final version of wxWidgets 3.1.1. I won't repeat the announcement email or the release announcement on the web site, but would just like to say a few words about the focus of this release and the future plans...
  19. Mtangoo

    USHAURI: Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Igawanywe

    Saalam kwa Wana JF wote. Kama tunavyofahamu Serikali ya awamu ya tano imekuja na mpango wa kuwa serikali ya viwanda. Ni jambo zuri kuwa na nchi ya viwanda ila kuna mambo ambayo yaspoangaliwa tunaweza kushindwa kufikia lengo. Moja ya makwazo ya mpango huu, kwa maoni yangu, ni Wizara kubwa ya...
  20. Mtangoo

    Java & Android Programming Training

    Tunapenda kuwatangazia wale wanaopenda Kujifunza Kuandika Code kwa Java na Kuweza kutengeneza mobile application kuwa Tutakuwa na Kozi Mbili moja ikianzia October 25 na nyingine Itaanza Disemba Mosi. Taarifa zote za msingi zipo katika kiambatanisho cha PDF. Kwa maswali yote niulize nami...
Back
Top Bottom