Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako

  • Quick Books Online

  • Xero

  • Supa Duka

  • Adiuta Business Assitant

  • THL Accounting

  • SmartDuka Pro

  • Nyingine (Taja kwenye comment)


Results are only viewable after voting.

Mtangoo

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
6,167
5,602
Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo.

KWA WATUMIAJI WA MIFUMO
1. Umetumia mfumo gani 2021?
2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021?
3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao 2021?

KWA WALE WASIOTUMIA MIFUMO BADO
1. Nini kinakuzuia usitumie mfumo wa kielektroniki kuendesha biashara yako?
2. Mwaka ujao una mpango wa kuanza kutumia mfumo? Nini ni sababu ya uamuzi wako huu?

Niwatakie heri ya Noeli na mwaka wenye mafanikio 2022!
 
Back
Top Bottom