developer

 1. Pep

  Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

  Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
 2. A

  App developer needed

  Experienced app developers needed, you must be able to create a complex system yet maintainable that will involve some complex programming. High priority will be given to those who employ the use of block chain tech in programming. DM with your experience and CV Deadline for application 15...
 3. R

  Je kuna ulazima kwa developer kujua kila component ya ide

  HABAR WADAU hope wote mpo poa Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
 4. R

  Je! Ni lazima developer ajue kila component ya IDE na kazi zake?

  Habari developer, mimi sipo vizuri sana kwenye coding lakini nashukuru angalau napata uelewa mpana kila siku Sasa nataka nianze kutumia visual studio ide, balaa ni hizo component baadh baadh sizielew je kuna umuhimu wa kujua zote na kazi zake
 5. mathsjery

  Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

  Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa. Hii inasifika kwa kuwa na uwezo...
 6. E

  Nimeitwa usahili Utumishi kada ya ICT Officer, naomba hints nikazie wapi

  salam kwenu wana jukwaa. Nimeitwa usaili utumishi next week kada ya ICTO II post ya software developer HESLB. Hii ndo interview yangu yakwanza utumishi nlikua naomba nimepewe hints wapi pakukazia maana naona kama napapasa gizani. Asante
 7. Y

  Tips ICT Officer (Software Developer & Sys Admin)

  Wakuu salam kwenu. Niko hapa naomba tips za wapi pa kugusia kwenye written exams za utumishi kada ya ICTO upande wa software developer na Sys Admin. Hii ndo interview yangu ya kwanza utumishi naona kama napapasa gizani. Msaada wenu wadau kitaa pamekaza kinoma.
 8. Nijosnotes

  Story of Change Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

  Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
 9. J

  Nahitaji developer (Web & App)

  Habari. Naitaji developer anayeweza kutengeneza e-commerce na app. Kuna project nataka tupige . Kama uko tayar nitumie namba yako ya whatsapp
 10. Cards Fantasy

  Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

  Habari za leo wanafamilia. Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps. Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu. Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania. Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
 11. Jamii Opportunities

  Renewable Explorer (Rex) – Senior Business Developer Renewables at Total

  Market analysis: Analyze key factors for the development of renewable projects in the market: Electricity market (regulation, price structure) Electricity demand (segmentation, location, growth) Electricity production (mix, emissions, production centers) Grid (age, quality, development...
 12. Stefano Mtangoo

  The Beem Developer Challenge

  Leo nimepokea Ujumbe wa hii challenge. Binafsi sitapata nafasi ya kushiriki, nikaona ni vyema niwashirikishe wengine watakaokuwa na muda na wangependa kushiri. Naona kuna zawadi ya mpaka 3.5mil TZS. Sio kubwa lakini kwa mwenye muda na Passion fedha hii inatosha hata kununua vitu vichache...
 13. juutech

  Junior Software developer Position

  Juutech Solutions is an uprising Tanzanian startup company that is aspiring to do great things. Currently, the company is looking for an ambitious junior developer to fill one post. Please see details below. Position: Junior Software Developer Qualifications: 1. Diploma or Bachelor degree in...
 14. H

  Katika harakati zangu za harusi nimepata idea ya App

  Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party...
 15. M

  Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

  Niaje Wadau? Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
 16. Squid

  Mnaonaje kuhusu hili developer?

  Hope mko poa! Me nimewaza kitu kimoja. (I'm not sure if someone else has already talking about that before). kwamba kwa Nini software and Apps developer wa Tz tukutane na kujoin together. then tuunde company ya ku build na kudevelop several types of softwares... maybe one-day tutaongezeka...
 17. Jamii Opportunities

  Regional LIMS Software Developer Manager at CIHEB

  Background The CIHEB 201 Regional Software Team is a specialized software development team with an international staff of 14 and growing. This dedicated group of software developers and computer scientists apply their expertise in building applications, architecting systems, and engaging users...
 18. NgimbaErick

  Professional Wordpress Website Designing Service

  Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya? Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
 19. K

  App developer wa Tanzania kuweni serious basi

  ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
 20. mathsjery

  Siku hizi kila mtu anataka kuwa developer, yaani any form of developer! kwanini unajisumbua?

  Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu. Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu. Mtu anashida flani inayohitaji developer basi anajifanya mjanja mjanja huku anataka solution bila kughalimia...
Top Bottom