adiuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    SOFTWARE Mfumo wa Kuendesha Biashara na Viwanda toka kwa Wabobezi wa Mifumo

    Habari Hosanna Higher Technologies, Wataalam wa kujenga mifumo ya kielektroniki tangu 2013 tunakuletea mfumo wa usimamizi wa biashara na viwanda. Adiuta ni mfumo unaokuwezesha kufuatilia mapato, matumizi, mauzo, idadi ya bidhaa zilizobakia na faida. Zifuatazo ni faida za kutumia mfumo wa...
  2. Mtangoo

    Usimamizi Bora wa Biashara – 1: Utangulizi

    “Usimamizi wa biashara”, ni neno ambalo tumezoea bila kujua maana halisi ya neno hili muhimu. Kwa sababu ya limetumika sana, na kirahisi rahisi, neno hili limepoteza maana yake halisi katika ulimwengu wa biashara. Katika mfululizo huu, nitakuwa nikikushirikisha usimamizi wa biashara ni nini, na...
  3. Mtangoo

    Adiuta Business Assistant APIs for Developers

    Tuna mpango wa kufungua APIs za Accounts & Inventory Sales platform yetu. Unaweza kusoma habari zake hapa, kwa ambaye hajawahi kuisikia. Tunaalika developers ambao wana project zinazohitaji Accounting functionalities lakini hawana mpango wa kuandika Accounting Package wenyewe. Hizi APIs...
  4. Mtangoo

    SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

    Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako. Iwe ni...
Back
Top Bottom