Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli ni kwamba mdude ni jasiri wa kiwango cha kutisha, wengi humu sisi ni wajasiri wa kwenye keybord tu ila hatufikii hata robo ya Ujasiri wa mdude. Huyu jamaa namuombea siku 1 aje kuwepo...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Ninaweza kuwa nakosea, lakini kwa nafsi yangu nipo sahihi. Nimefurahishwa sana kwa kitendo cha serikali kumshikilia Dr Slaa. Nimefurahi sana anapohenyeka. Binafsi...
51 Reactions
110 Replies
7K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ameshuhudia kusainiwa kwa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 1.6 zitakazotolewa na Serikali ya Ufaransa kusaidia wasanii katika sekta ya...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Amemteua Jaji Mstaafu Steven Bwana kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma kwa kipindi cha miaka mitatu Adha, ameteua Makamishna watano wa Tume hiyo ambao ni George D. Yambesi, Balozi Mstaafu...
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Serikali ikiendelea kuziba masikio wajue masikio hayo yanaenda kupasuka , nchi hii wasomi ni wengi na wenye upeo mkubwa serikali isiishi kwa kujiona kwamba kwa vile ni viongozi wa umma kwamba wao...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa...
24 Reactions
180 Replies
21K Views
WANAUKUMBI. Hii ni kauli ya Dr Slaa. Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt...
18 Reactions
595 Replies
29K Views
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo nauliza swali fupi tu CCM ni kichwa ngumu...au ni jiko la kupikia fitina? Tangu mwanzo kabisa, kelele hizi za Bandari zetu na wawekezaji toka Emirate yaani DPW , tumekuwa tukikataa ubovu wa...
1 Reactions
3 Replies
745 Views
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa...
24 Reactions
77 Replies
8K Views
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika...
22 Reactions
2K Replies
125K Views
Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja, Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu Kwa niaba...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni muhimu viongozi wetu wajifunze kuwa na busara wanaposhughulika na watu wanaotofautiana nao. NItaeleza. Mnamo mwaka 2018 huko Kenya, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
Hatimaye kwa mara ya kwanza ndani ya wiki mbili kiongozi wa Tanzania amezungumzia kuhusu afya ya Rais na kusema ni mzima tena anachapa kazi wala hana issue. Binafsi namtakia kila la kheri, huwa...
15 Reactions
243 Replies
42K Views
Awali napenda kusema mimi si chawa wala mshabiki wa chawa wa DP world na si mfuasi wa Dr Slaa au Mwabukusi bali natoa maoni yangu kama nilivyochambua masuala yalojitokeza hususan suala la...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom