Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,783
218,409
Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya vyombo vya dola na mamluki wake.

Huwezi kuwa kiongozi wa Chadema kwa vile tu Wazazi wako walikuwa viongozi , Ukakamavu ni sehemu ya sifa za mtu kuwa kiongozi wa Chadema , Katika safu ya viongozi wa Chadema hakuna yeyote ambaye hajawahi kukamatwa na kufungwa jela , huku wengine wakitekwa na kuuawa , hii ni kuanzia ngazi ya chini kabisa, Yaani mtu anaomba uongozi wa Chadema huku akijua kabisa kwamba atakamatwa na kufungwa siku yoyote, hiyo si mchezo wa kuigiza kama wale wanaoteua tu hata wale ambao hawakuwahi kuitetea ccm popote pale

Watu wa namna hii kuwafananisha na viongozi wa kubebwa wa ccm ambao nusu yao wamepata uongozi kwa sababu ya koneksheni ya wazazi wao , NI SAWA NA KUTUKANA MATUSI YA NGUONI , CCM haina kiongozi yeyote kwa sasa wa kulinganisha na safu ya Chadema.

JamiiForums77508547.jpeg
 
Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa...
Wewe kazi ndiyo hii kujificha nyuma ya keyboard hujawahi onja machungu!
 
Chadema wakiona gari limeandikwa PT

Wewe kazi ndiyo hii kujificha nyuma ya keyboard hujawahi onja machungu!
Ni kweli sikufungwa lakini nimekamatwa mara kadhaa kwa sababu ya kuwashinda wanaccm kwa hoja , hata hivyo kulogwa ambako mimi nimelogwa na mahirizi niliyotupiwa nyumbani na wachawi wa chama chakavu , kama Mungu hakuwa upande wangu ningekwisha muda sana .

Hebu fikiria watu wanajikusanya kumloga mtu kwa vile ni Chadema tu !
 
Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa...
  1. Kukamatwa na kufungwa jela haijawahi kuwa sifa ya kiongozi bora.
  2. Haraka haraka tuanze na nafasi ya mwenyekiti wa chama, unaweza tuambia toka 1992 mpaka leo CHADEMA imekuwa na wenyeviti wangapi na wana mahusiano gani (nje ya wote kuwa wanachama wa CDM)?
 
Unazungumzia sifa za kiongozi wa kisiasa kwenye nchi ipi ?
 
Ni kweli sikufungwa lakini nimekamatwa mara kadhaa kwa sababu ya kuwashinda wanaccm kwa hoja , hata hivyo kulogwa ambako mimi nimelogwa na mahirizi niliyotupiwa nyumbani na wachawi wa chama chakavu , kama Mungu hakuwa upande wangu ningekwisha muda sana .

Hebu fikiria watu wanajikusanya kumloga mtu kwa vile ni Chadema tu
MKuu acha imani za kishirikina!
 
shida ya chadema ni mamluki flani wajinga wao kila kitu ni kupinga tuh kama mazezeta mf hili la bandari hata mradi wa bwawa la nyerere walileta mdomo
 
Bado u kipofu na siku ukipona ukipofu wako utaelewa nini maana ya CCM kuwa chama kiongozi Barani Afrika na kuendelea kuaminiwa , kuaminika,kupendwa ,kukubalika katika mioyo ya watanzania na kuendelea kupigiwa na kuchaguliwa katika kila uchaguzi ufanyikapo
 
Porojo
 
Back
Top Bottom