ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,109
- 49,811
MAMLAKA ya Mapato Tanzania imekusanya kiasi cha Sh trilioni 24.11 katika kipindi cha Julai 2022 na Juni 2023 ikiwa ni sawa na asilimia 97.4 ya lengo la kukusanya Sh trilioni 24.76.
Hata hivyo makusanyo hayo ni ongezeko la asilimia 8.2 ikilinganishwa na makusanyo ya kipindi kama hicho mwaka wa fedha 2021/22.
====
Taarifa va TRA imeonesha mwezi Disemba umeendelea kuwa na makusanyo zaidi ukifuatiwa na Machi na Juni.
Hongera TRA, ila Kwa nini huwa hamvushi Asilimia 100%?
My Take: Bilioni 660 Kutopatikana manake ni hasara kubwa kwenye Bajeti ya Nchi na pesa hizo kama zilikuwa za Miradi inamaana haikufanyika..
TRA jitahidini Kwa sababu Mikopo sio ya kutegemea sana.