Wakati wa kupitisha Sheria mbili za Ulinzi wa Rasilimali za nchini bungeni mwaka 2017 Mbunge wa Arusha Mjini mh Lema alisema Wabunge Wawe waangalifu wasitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo na...
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina...
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania...
Mamlaka ya RAIS ni makubwa lakini mamlaka ya Watanzania ni makubwa zaidi - sasa kuna mambo kadhaa ikiyaangalia inakuwa kama kila upande unatunisha msuli / msuri.
(a). Suala la katiba mpya -...
Wasalaam, mwandishi na mwanasheria pascal mayalla aliwahi kuandika makala 'je bunge letu linajipendekeza'? Hii ilikua mwaka jana 2018. Baada ya makala hii kama kawaida mh spika job ndugai alifoka...
Baaada ya kutafakali kwa umakini mkataba huu wa bandari, kuna maswali ya kufikilisha nimeyapata. Kama ikiwa Bunge lisingepitisha, mkakataba niwazi kua mkataba usinge ingiwa, Sasa kama ndivyo...
Dkt. Slaa amesema yeye alikamatwa kwa kutumia kifungu 39 (1) ambacho hakina Dhamana Lakini yeye yuko nje kwa Dhamana
Dkt. Slaa amesema labda anayeweza kutolea ufafanuzi wa kisheria ni Wakili wake...
Kama Siasa inajitegemea mbona Viongozi wa kisiasa hawaapishwi kwa kutumia Katiba Pekee bali huapa mbele ya Biblia au Qur'an kuilinda Katiba
Mbona Viongozi wa kisiasa kila siku huomba Viongozi wa...
Mbunge mstaafu wa Vunjo amehoji Vijana wa taifa hili wako wapi kulinda rasilimali?
Amesema kuna haja ya kuanzisha mitaala ya kuwasaidia Vijana ili wajitambue na kuwa wazalendo kwa nchi yao
Baada ya BBT sasa ni kila zamu ya wakulima wadogo.
Serikali ya awamu ya 6 imeamua kutofuata mkumbo wa ngonjera, pambio na misamiati ya miaka nenda rudi kuhusu kilimo, sasa inatenda kwa vitendo...
Injinia ya Uchumi ni sekta binafsi.
Hongera Serikali kama Wawekezaji wa reli za Sgr wamejitokeza Wapeni wajenge haraka.
--
𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐑𝐄𝐋𝐈 𝐌𝐓𝐖𝐀𝐑𝐀
Katika kurahisisha shughuli za usafirishaji...
Muda mchache baada ya Wakili wa Dk. Slaa Dickson Matata kutoa taarifa kuhusu mteja wake kupewa dhamana, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amesema kuwa...
Friends and Enemies...
Sheikh Machachari wa minakasha na makongamano nayeye amevunja ukimya DHIDI ya wanasiasa na wale ambao wamekuwa vinara wa kauli chafu na matusi DHIDI ya Rais Samia.
Sheikh...
Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo amefanya mahojiano na BBC na kujibu maswali mbalimbali aliyoulizwa
Prof Mkumbo amesema Watu Waliokamatwa Hivi karibuni Wana makosa yao huko Polisi...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua...
Mkuu wa Majeshi nchini General Jacob Mgunda amesema ni marufuku Wanajeshi kujiingiza kwenye Siasa
Kazi ya Jeshi ni kulinda amani na kuzalisha mali Siyo kuifanya siasa, amesema
CDF Mkunda...
Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
Kwamba Dkt. Slaa, balozi wa Hayati Magufuli leo yuko korokoloni tena chini ya awamu ya 6?
Ikumbukwe hata kina Mbowe hayakuwakuta ya kuwakuta kwenye awamu...
Katika mahojiano kati ya Profesa Kitila Mkumbo na Mwandishi wa habari nimeweza kuelewa mambo yafuatayo:
Mosi, suala hili la mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Emirati ya Dubai...
Kwa mtindo huu wa kamata weka ndani bambikiza kesi, mama samia ataliingiza taifa kwenye giza la kiuchumi ukizingatia yeye hana mbinu mbadala za kuinua uchumi wa nchi wazo kuu kwake ni kukopo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.