ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,125
- 49,847
Naunga mkono hoja, vinakuaje Nchi ndogo kama Rwanda au Kenya zikaruhusu watu binafsi kumiliki Ardhi wakati Tanzania yenye maelfu ya ekari inawanyima watu kumiliki Ardhi.
Hii Nchi ujamaa ulishatuharibu Kila kitu hofu matokeo yake tunazaliwa maskini na kufa maskini pamoja na kuwa na Ardhi na Mali zingine kibao Kwa sababu tuu ya hofu za kipuuzi kushirikiana na waliofanikiwa na wenye mitaji.
Sheria za uwekezaji za Tanzania ni za kikoloni sana matokeo yake sasa tunashindwa kusogeza mbele kama Taifa.
Wapinzani nao Kwa kuwa tuu shida Yao ni kushika Dola hawesemi ukweli ila wanalaumu Serikali ilhali hiyo hiyo Serikali ikitaka kuleta reforms wanakwambia mnauza Nchi harafu wao hawaji na plan ya kuboresha maisha ya watu.
Ujamaa unajua watu wenye exposure, ubunifu na uthubutu wa kuleta Mageuzi Kwa kuwa tuu wapuuzi watazusha mambo kibao na kusema Nchi inauzwa na Kwa kuwa tuna wajinga wengi watashangilia.
Awamu ya 5 iliua kabisa Shirika la Nyumba la Taifa NHC. Kwa Sasa walau linaanza kufufuka tena lakini sheria zinazuia kukua zaidi maana Sheria haziruhusu watu wenye pesa kutoka Nje kununua nyumba/Kumiliki Ardhi.
My Take
Watanzania tuache mawazo ya kijinga na Kijamaa yanatuongezea umaskini badala ya kuondoa. Nchi za wenzetu zingekuwa na sheria za kijinga kama hizo akina Mbowe wasingemiliki nyumba Dubai, South Africa nk.
=====
Shirika la nyumba la Taifa (NHC) limesema litakuwa likitengeza Sh850 milioni kila mwezi kutoka katika mradi wale wa 'Moroco Square'. Akizungumza na Wahariri na waandishi wa habari leo Agost 3, 2023; Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Hamad Abdullah, amesema pesa hiyo itatokana na kodi za wapangaji wa hoteli na maduka. Abdullah amesema mradi huo tayari umekamilika kwa asilimia 97 na tayari umeshapata wapangaji na wanunuzi. - Mwananchi

"NHC DG Abdallah, says Tanzania is missing out by denying foreigners the right to own land and houses. He says countries such as Rwanda, Kenya, SA, have freehold ownership against Tanzania's leasehold."Celebrities could own holiday homes in Tanzania," he said."- The Citizen