Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Raisi Samia, kwa sababu ya mambo fulani yaliyojitokeza hupa JF Forums, niliahidi kutotoa post tena. Lakini kwa ajili yako nimeamua kuvunja mwiko huo. Nimefuatilia kwa makini sana yanayoendelea...
68 Reactions
106 Replies
11K Views
Ahsante JamiiForums kusaidia utatuzi wa kero ya maji Mwanza. Kumekuwepo na kero kubwa ya maji katika jiji la Mwanza ingawa kuna ziwa kubwa lenye ujazo wa maji ya kutosha katika jiji hilo. Wiki...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World. Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi...
21 Reactions
44 Replies
7K Views
Baada ya Serikali na CCM kubanwa kona zote kuhusu mkataba wa bandari na DP world, watawala na wapambe wao wakaona njia rahisi ni kuwagawa watanzania kidini mpango ambao nao umegonga mwamba. Hoja...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi...
28 Reactions
481 Replies
41K Views
Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio ukweli ambao upo wazi kwa yeyote mwenye akili Timamu na mwenye kupima kauli ,matendo,maneno,Historia ya Baadhi ya viongozi wa Dini katika awamu Tofauti tofauti na...
3 Reactions
152 Replies
7K Views
Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile...
19 Reactions
79 Replies
6K Views
Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na...
13 Reactions
153 Replies
8K Views
Wengi wanadhani yule Mbunge wa Bunda aliyeomba Msamaha Kanisani kwa kupigia IGA ya Bandari kura ya NDIYO ni mjinga Yule amepiga Mahesabu ya Mbali Sana Wakatoliki Wana kura za uhakika na ni...
3 Reactions
6 Replies
633 Views
Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba...
1 Reactions
7 Replies
745 Views
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo amesema kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa Shehe Mwaipopo amemuonya Askofu Mbarikiwa wa Mbeya aache tabia ya kumsemasema Rais mstaafu...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
UNAFIKI pembeni! Moja kwa moja kwenye ajenda. 1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani? 2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina...
3 Reactions
4 Replies
875 Views
Mhe. Waziri ninakuandikia ujumbe huu kwa masikitiko makubwa sana. Tatizo la maji hapa Mwanza limekuwa kero kubwa. Kila kukicha maji hayapo kwenye mabomba. Walitudanganya kuwa kulikuwa na...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zangu kwa namna ambavyo mambo yana kwenda kwenye huu mjadala wa hili dubwana dp, Niukweli usiyo pingika kuwa mbele yetu kuna tufani kubwa Dalili za mvua ni mawingu na panapofuka Moshi...
3 Reactions
9 Replies
804 Views
Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea...
15 Reactions
103 Replies
10K Views
Back
Top Bottom