Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pengine Uteuzi wa Jokate kuwa katibu wa UWT umeleta attention kubwa pengine kuliko teuzi zote za mwezi huu. Teuzi hii naamini sio kwa bahati mbaya, Jokate nakujua uwezo wako toka pale UDSM...
0 Reactions
7 Replies
793 Views
1. Mwabukusi 2. Mdude 3. Anangisye 4. Jwani Mwaikusa 5. Dkt. Ulimboka 6. Mwangosi Bonus Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya Mtaji wa kisiasa wanao, 2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwa namna ambavyo Watanzania tupo kijingajinga hivi siku tunakuja amka nchi itakuwa imetafunwa imekwisha, CCM hawana mpango na Taifa hili tena wanachofanya nikutafuna tu. Najaribu kuangalia hata...
3 Reactions
11 Replies
649 Views
Naendelea sana kufurahishwa na namna rais samia anavozidi kujenga mahusiano na nchi za kiarabu. Tumenyonywa sana Nchi za Magharibi tumekopa tunalipa madeni yenye riba kubwa sanaa. Kwa sasa kwa...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ni lazima aendane na wakati kwa kufanya Siasa za kisasa na aachane na Siasa za Kimaskini. CHADEMA iliasisiwa na Mabwanyenye ambao wala hawakuwa na lengo la...
1 Reactions
8 Replies
636 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara anayoisimamia ipo tayari kutoa...
1 Reactions
3 Replies
412 Views
Hizi teuzi za kila baada ya masaa 24 ndio kitu pekee kwa sasa kinacho fanya raia wajue Raisi yupo, tofauti na hapo nchi inaendeshwa utazania katiha isha vunjwa. Kichaka pekee cha kuonyeshea nguvu...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo tarehe 02 October 2023 nimenunua umeme wa sh.11,000/= ambapo nilitegemea kupata unit 28.0 lakini nimepata unit 26.6! Je, umeme umepanda bei au ni tabia nchi tu!
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Sijafanya Utafiti rasmi kujua kama Kutumbua Tumbua na Kuteua Teua ni Falsafa Moja au tofauti Ila nilichogundua Awamu ya 5 Ilisikika zaidi Tumbua Tumbua Tumbua na awamu hii swaga ni Teua Teua...
0 Reactions
8 Replies
693 Views
Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na...
13 Reactions
25 Replies
2K Views
Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu. Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana...
15 Reactions
75 Replies
4K Views
Ni ukweli usiopingika jina la MWANA FA ni kubwa sana kutokana na kupata mafanikio katika tasnia ya Muziki na kuwa miongoni mwa Magwiji wa Bongo Flavour. Pamoja na umaarufu wake lakini ni Kijana...
44 Reactions
59 Replies
6K Views
Hiki Chama kinajua kula na kipofu na sasa wanakata mbuga na wananchi walio wengi wameanza kukielewa kwa kasi. Ijulikane tu wametia mguu ndani ya serikali ya Zanzibar na sasa ni zaidi ya mwendo...
0 Reactions
5 Replies
887 Views
Mkuu mi Sina mashaka na utendaji wako kabla ya kuwa Waziri tangu ulipokuwa Ofisi ya mwana Sheria Mkuu wa serikali baadaye ukawa Waziri wa Utumishi kwakweli uliwafuta Watumishi machozi kwa wale...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom