ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Katika nafasi ambazo zimepoteza mvuto Serikalini ni Nafasi ya Ukuu wa Wilaya na Ukurugenzi wa Halmashauri, ni Nafasi ambazo Sasa zimeonekana kana kwamba si za kudumu na muda wowote unatolewa, mtu unaweza kuwa Mkurugenzi katika nafasi mbalimbali katika mashirika ya umma Kwa miaka 10, 8, 7 ila Hali hiyo haipo katika Halmashauri ambapo utakaa kidogo utaondoka
Hizo kazi zimekuwa kama ni mtego, ni Nafasi ambazo zimepoteza hadhi, Kwani haiingii akilini wakurugenzi wote hao wafeli ama washindwe kufanya kazi , ingekuwa mmoja au wawili sawa Sasa ni wengi.
Ama kwakuwa wanahusishwa na uchaguzi na siasa Kwa ujumla. Maana sijawahi kusikia Mkurugenzi katika wizara flani, au taasis flani kaondolewa ila siku zote ni wa halmashauri