Tetesi: Mchengerwa, mzee wa "kifua" sasa kaingia figisu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,332
24,216
IMG-20230928-WA0014.jpg

Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
IMG-20230925-WA0058.jpg

UPDATE!!!!
Kuna tetesi kuwa mwandishi wa habari za Mwanahalisi amekamatwa.
Hizi habari zimekuwa quoted, and no pun intended.
Kwa hiyo wadau tujadiliane kwa uelewa huo.
Inawezekana kabisa kuna washindani wa kisiasa wako nyuma ya swala hili.
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Leta taarifa yote yote. Jamani msiuwe vijukuu
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Mchengelewa , ameiabisha familia ,na taifa kwa ujumla, sura ya mchengelwa ipo wazi , sio mwaminifu japo anabebwa na mfumo wa mama mkwe period
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Kazi IPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Kwa Serikali wezi ni Watumishi wa Umma ndio wanatakiwa kuchukuliwa hatua ila Hawa Wanasiasa ni malaika na Wana immune hakuna kitu hapo.
 
View attachment 2764799
Kuna tetesi kuwa Waziri Mchengerwa, anayesifika kuwa na kifua kikubwa kukabiliana na maswala ya utawala, kaingia figisu za tamaa.

Gazeti la Mwanahalisi (September 28-October 4, 2023) limedokeza kuwa kulikuwa na jaribio la Mchengerwa kujitwaalia gari mpya pya pya pya, aina ya Nissan Patrol , gari la TANAPA.

Pamoja na kukanushwa habari hizi, lakini zinamtia doa mzee wa kifua kipana!
Gari la 250m kwa huyu jama ni kdgo kwa uwezo wa dili zake, hapo wana lenga kumchafua tu hizo habari zilianzishwa na kigogo kule fb.
 
Back
Top Bottom