johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,008
Rais wa JMT mh Dr Samia amemtumia Salamu za Pongezi Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa kwa kusimikwa Rasmi na Baba Mtakatifu Francisco kuwa Kardinali
Kauli mbiu ya Utume wako ni " Enendeni Ulimwenguni Kote" ikiakisi Mafundisho ya Yesu Kristo katika Injili ya Marko 16:15 Juu ya Utume unaojali Watu Wote, amesema Rais Samia
Kanisa Moja Takatifu La Mitume
Nawatakia Dominica Njema 😀😀